Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wana bodi,naomba kupata uzoefu kutoka kwenu ni maeneo gani nchini uganda naweza kupata viatu na mikoba ya kike (vyote vya dukani) pamoja na bei ya jumla mana natarajia kufungua duka la ivyo vitu jijini mwanza na sio vibaya mkinishauri na soko lake kama vinauzika...thanks.
Modes please msiunganishe uzi huu na ule mwingine wa biashara ya nguo nchini Uganda
PM ya nini tena wengine watajuaje ! kuna siri gani hapo!Mkuu kama unahitaji mikoba safi kwa jumla tuwasiane tufanye biashara ni mizuri unaweza kunipm nikutumie kwa whatsapp.
PM ya nini tena wengine watajuaje ! kuna siri gani hapo!
Hata ukificha namba ni kazi bure tutakupata tu kupitia pm.Mkuu nimekumbana sana na matapeli kwa kuweka no adharani anyway nitaweka picha ya sample nilizonazo hapa
Mkuu kama unahitaji mikoba safi kwa jumla tuwasiane tufanye biashara ni mizuri unaweza kunipm nikutumie kwa whatsapp.