Update 2: "Kwani sisi na wao Lini??"

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Na hii ni kutoka Magazetini.

Waandishi wa habari za michezo nchini Tanzania, hatimae watoa ya moyoni kuhusu ubora wa Mnyama Msimu huu.
Hebu pitia [emoji116] kuona waliyonena.






























Alafu "mtani" hii [emoji116] kachumbari style imeishia wapi?? [emoji2] [emoji2]



ANGALIZO: Simba SC ya Msimu huu si ya magazetini kabisa, ila waandishi hawana jinsi inabidi waandike tu.

MWISHO: Sisi na Wao ni 01.10.2016.
 
Unafaa kabisa kuwa msemaji wa Taifa kubwa naamanisha Simba Sports Club.
 
Unafaa kabisa kuwa msemaji wa Taifa kubwa naamanisha Simba Sports Club.
Shukrani Mkuu.. Ila nadhani huku pananifaa zaidi.
Acha tuendelee kuplay part yetu mitandaoni, huku Manara akiendelea "kuwavuruga" katika redio, TV n.k
 
tar 1mkitufunga nipigwe ban,simba lake pori mpira una wenyewe.
 
Simba na Arsenal misimu ya hivi karibuni zimekuwa zikifanana kwa kiasi kikubwa....wanaanza kwa mbwembwe ila wanamalizia kwa aibu...

Tuwe na subira, muda ndo msema kweli!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…