UPDATE 3: Ni nani yu mikononi mwa Mnyama, kabla na baada ya 01.10.2016?

UPDATE 3: Ni nani yu mikononi mwa Mnyama, kabla na baada ya 01.10.2016?

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Katika kuelekea kusherekea ile sikukuu yetu kubwa katika Mwaka huu hapo tarehe 01.10.2016.. leo tuone ni "chakula" gani Mnyama huyu mkali kabisa Mwituni, Simba SC atakua akila kabla na baada ya hiyo 01.10.2016.

11.09.2016(Sun): SIMBA SC Vs MTIBWA SUGAR... SHAMBA LA BIBI

17.09.2016(Sat): AZAM FC Vs SIMBA SC... CHAMAZI COMPLEX

24.09.2016(Sat): SIMBA SC Vs MAJIMAJI FC... SHAMBA LA BIBI

01.10.2016(Sat): YOUNG AFRICANS Vs SIMBA SC... SHAMBA LA BIBI

08.10.2016(Sat): TANZANIA PRISONS Vs SIMBA SC... SOKOINE MBEYA

12.10.2016(Wed): MBEYA CITY Vs SIMBA SC... SOKOINE MBEYA

15.10.2016(Sat): SIMBA SC Vs KAGERA SUGAR.. SHAMBA LA BIBI

20.10.2016(Thu): SIMBA SC Vs MBAO FC... SHAMBA LA BIBI

23.10.2016(Sun): SIMBA SC Vs TOTO AFRICAN... SHAMBA LA BIBI

29.10.2016(Sat): MWADUI FC Vs SIMBA SC MWADUI COMPLEX SHINYANGA

02.11.2016(Wed): STAND UNITED Vs SIMBA SC... CCM KAMBARAGE SHINYANGA

06.11.2016(Sun): AFRICAN LYON Vs SIMBA SC... SHAMBA LA BIBI

NOTE: Hiki chakula ni cha nusu msimu tu.

Ni mimi sembo kuwaletea habari.
SIMBA SPORTS CLUB, NGUVU MOJA
 
Ratiba FULL ya Mnyama kwa Msimu huu wa 2016/2017 katika VPL hii hapa [emoji116]

1473480244296.jpg
 
Sembo nakuhesabia siku zako za kuwa hapa kama kawaida yako ikifika Mwezi April unakimbiaga wewe.
 
Simba mmeanza kwa mbwembwe
Kawaida yao siku hizi. Sijui mwaka huu watakuja na gia ipi. Ya viporo iliwatokea puani. Walikuwa kwenye kiwango kizuri wakaamua kujipoza ikawa ndiyo hivyo tena!
 
Sembo nakuhesabia siku zako za kuwa hapa kama kawaida yako ikifika Mwezi April unakimbiaga wewe.
Mkuu, mpaka sasa zimebaki siku ngapi za Mimi kua hapa?
Anapotea utafikiri yupo likizo sehemu ambayo hakuna network!
Ni kweli nilikua eneo korofi kwa mda wa kama miezi 7 ndo mana nilipotea.. Ila msimu huu tupo pamoja.
Simba mmeanza kwa mbwembwe
Mkuu hii ni kanyaga twende mpaka April 2017 tutakapocheza mechi ya mwisho na Africa Lyon.
 
Back
Top Bottom