UPDATE: Babu seya,Papii Kocha kunyea debe Maisha...Ni baada ya Rufaa yao ya mwisho kutupiliwa mbali

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
UPDATE: Babu seya,Papii Kocha kunyea debe Maisha...Ni baada ya Rufaa yao ya mwisho kutupiliwa mbali na Mhakama hii Leo...!!










Mwanamziki mkongwe nchini Nguza Viking aka Babu Seya na mwanaye Papii Kocha, wataendelea

na kifungo cha maisha jela baada ya mahakama ya rufani nchini kuitupilia mbali rufaa yao

iliyosikilizwa leo


Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya

kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar ambapo

wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…