Muuzaji Mkuu
JF-Expert Member
- Jun 18, 2022
- 893
- 2,001
Kivipi?Ma jobless pro max tuna pigwa kabali kila kona.
ndio,karibu.Ndugu hizi ni bei za jumla?
Sawa bossNjoo pm tufanye biashara
Hakuna namna serikali imeshaweka tutafanyaje muhimu balance hesabu zako tuHapo kwenye barua ya Serikali ya mtaa kwanini 5000? Hiyo ni huduma kwa mwananchi/Mfanyabiashara, inatakiwa kutolewa bure. Mhitaji huduma aamue kwa mapenzi yake kutoa pesa ya maji na sio kuhalalishwa kama tozo kwa ajili ya kupata huduma.
Hii 2% TRA haikutakiwa kutolewa kwa kila mzigo unapotoka, ukishapatiwa makadirio yako TRA kwa mwaka inatakiwa iwe imeishia hapo. Hayo mabadiliko yanaongeza mzigo kwa mfanyabiashara.
Kwa upande wa magogo kulipiwa hiyo 15,000 kwa kila gate atakalopita napo ni kumuongezea gharama mfanyabiashara, amekwisha kuchana/kununua mbao kwanini isiwe ni mwendelezo wa kile alichoanza nacho mpaka kupata end product? (Magogo ~~~> Mbao)?
Unaleta Ujuaji au siyo? Umeambiwa hiyo 5,000 ni facilitation fee ndo mapato yenyewe ya mtaa hayoHapo kwenye barua ya Serikali ya mtaa kwanini 5000? Hiyo ni huduma kwa mwananchi/Mfanyabiashara, inatakiwa kutolewa bure. Mhitaji huduma aamue kwa mapenzi yake kutoa pesa ya maji na sio kuhalalishwa kama tozo kwa ajili ya kupata huduma.
Hii 2% TRA haikutakiwa kutolewa kwa kila mzigo unapotoka, ukishapatiwa makadirio yako TRA kwa mwaka inatakiwa iwe imeishia hapo. Hayo mabadiliko yanaongeza mzigo kwa mfanyabiashara.
Kwa upande wa magogo kulipiwa hiyo 15,000 kwa kila gate atakalopita napo ni kumuongezea gharama mfanyabiashara, amekwisha kuchana/kununua mbao kwanini isiwe ni mwendelezo wa kile alichoanza nacho mpaka kupata end product? (Magogo ~~~> Mbao)?
What if umekadiriwa kwa mwaka lakini hujaenda hata mara moja kuchukua mzigo???? Tumia akili kijana wa TEC hoja zako ni nyepesi sana kuepuka double taxation maana yake hapo makadirio kwa mwaka yamekufa automatically lakini hata yangekuepo ni rahisi kwa TRA kujua na kukadiria kwa sababu ile turnover itaonesha ukubwa au udogo wa biashara yako!Hapo kwenye barua ya Serikali ya mtaa kwanini 5000? Hiyo ni huduma kwa mwananchi/Mfanyabiashara, inatakiwa kutolewa bure. Mhitaji huduma aamue kwa mapenzi yake kutoa pesa ya maji na sio kuhalalishwa kama tozo kwa ajili ya kupata huduma.
Hii 2% TRA haikutakiwa kutolewa kwa kila mzigo unapotoka, ukishapatiwa makadirio yako TRA kwa mwaka inatakiwa iwe imeishia hapo. Hayo mabadiliko yanaongeza mzigo kwa mfanyabiashara.
Kwa upande wa magogo kulipiwa hiyo 15,000 kwa kila gate atakalopita napo ni kumuongezea gharama mfanyabiashara, amekwisha kuchana/kununua mbao kwanini isiwe ni mwendelezo wa kile alichoanza nacho mpaka kupata end product? (Magogo ~~~> Mbao)?
Mkuu, futa kwanza hiyo kauli ya TEC. Sio kila anayekwenda against ni mfuasi wa TEC.What if umekadiriwa kwa mwaka lakini hujaenda hata mara moja kuchukua mzigo???? Tumia akili kijana wa TEC hoja zako ni nyepesi sana kuepuka double taxation maana yake hapo makadirio kwa mwaka yamekufa automatically lakini hata yangekuepo ni rahisi kwa TRA kujua na kukadiria kwa sababu ile turnover itaonesha ukubwa au udogo wa biashara yako!
Mkuu, unaonekana u mshari sana.Unaleta Ujuaji au siyo? Umeambiwa hiyo 5,000 ni facilitation fee ndo mapato yenyewe ya mtaa hayo
Mpuuzi huyoMkuu, futa kwanza hiyo kauli ya TEC. Sio kila anayekwenda against ni mfuasi wa TEC.
Ukishaamua kuingia kwenye biashara kabla ya yote ni kuwaona wazee wa TRA wakuweke sawa. Ukishawekwa sawa ufanye biashara usifanye wao hilo hawalijui mpaka pale utakapo wapatia taarifa kuwa biashara yangu nimeifunga au siifanyi tena.
Mkuu hili kum'nina lofa likubwa huwa mnaongea nalo la nini?Mkuu, futa kwanza hiyo kauli ya TEC. Sio kila anayekwenda against ni mfuasi wa TEC.
Ukishaamua kuingia kwenye biashara kabla ya yote ni kuwaona wazee wa TRA wakuweke sawa. Ukishawekwa sawa ufanye biashara usifanye wao hilo hawalijui mpaka pale utakapo wapatia taarifa kuwa biashara yangu nimeifunga au siifanyi tena.
Kwa wale wafanyabiashara mnaokuja kujumua mbao wilaya ya Njombe ningependa kuwataarifu juu ya mabadiliko ya ushuru na kodi ya TRA
•Kwasasa wilaya ya njombe wanacharge 3% ya thamani ya mbao zote ulizopakia kwenye gari kama ushuru tofauti na zamani walivokuwa wanacharge 100Tsh kwa ubao.
•TRA kwasasa wanacharge 2% ya thamani ya mbao zote ulizopakia kwenye gari tofauti na zamani walivokuwa wanataka risiti ya manunuzi ambayo ulikuwa unaipata kwa 300,000Tsh.
NB: Wilaya ya njombe bado wanacharge ushuru wa magogo kwenye kila bidhaa ya msitu utakayosafirisha.
Kila geti la ukaguzi utakalikuwa unapita lilipo ndani ya wilaya ya Njombe utalipia 15,000/= kama ushuru wa magogo
KABLA HUJAJA WILAYA YA NJOMBE KUNUNUA MBAO ZINGATIA GHARAMA ZIFUATAZO ILI USIPATE HASARA
•Manunuzi
•Upakiaji: 150,000/=
•Usafiri:
•Ushuru: 3% ya thamani ya manunuzi ya mbao
•TRA: 2% ya thamani ya manunuzi ya mbao
•Transit pass: 15,000/=
•Ushuru wa Transit pass: 20% ya gharama ya Transit pass
•Barua ya serikali ya mtaa: 5,000/=
•Ushuru wa magogo: 50,000/= hadi 150,000/= itategemea umenunua eneo gani na utapita mageti mangapi
•Kuhakiki uzito mizani: 15,000/=
NB: Hakikisha unakuwa na cash ya akiba ikitokea uzito umezidi wakati unahakiki mizani unatakiwa kulipa vijana wapunguze mzigo.
KUMBUKA KUWA NA NYARAKA ZIFUTAZO KABLA YA KUANZA SAFARI ILI USISUMBULIWE NJIANI
•Kibali cha kufanya biashara ya mbao (Certificate of registration of forest produce dealer or trader)
•Transit pass
•Barua ya serikali ya mtaa mahali uliponunua mbao
•Risiti ya ushuru wa mbao
•Risiti ya ushuru wa magogo
•Risiti ya malipo ya 20% ya transit pass
•Hakikisha gari uliyokodisha ina tembea na risiti ya mauzo ya huduma
MUHIMU: Wakati wa kukata transit pass na ushuru usidanganye kiasi cha mbao ulizonunua hii ikigundulika njiani itakusababishia kupigwa faini si chini ya 500,000Tsh
Hakikisha eneo lillilojazwa kwenye transit pass linaendana na eneo kibali cha kufanya biashara ya mbao kimeandikishwa
La mwisho hakikisha taarifa muhimu kama namba za gari,majina ya dereva nk vinajazwa kwa usahihi wakati wa kukata transit pass
KAMA UNAHITAJI MBAO KUTOKA WILAYA YA NJOMBE HIZI NDO BEI ZAKE KWA SASA
2by4. 3400
2by6.4500
2by2.1200
1by8.4500
1by6 2800
1by4. 1200
1by10 9800
View attachment 3537114View attachment 3537114View attachment 3537114
MAWASILIANO
0748874928
(Piga/sms/whatsapp)