UPDATE: Boniface Jacob kuendelea kusota rumande baada ya jeshi la Magereza kukosa usafiri wa kumfikisha Mahakamani Kisutu kusikiliza dhamana yake

 
Hivi nyie mnafikiri kuna vyombo vya usalama Tz ukiacha JWTZ? Kuna majambazi majizi mijibwa yanayotumwa tu kama majini! Ukiwa na pesa kidogo unaweza kukodi hizi mbwa kuteka yeyote na kumuua trust me!
Hivi mnajua zile SMG zinazotumika kwenye ujambazi ni za polisi wanaziamisha wenyewe wakiwa kwenye malindo ya benk???
 
Nchi kwishney! kila kitu compromised! hadi mahakama!!
 
Kimbia canada mangi si manajiona mnazo akili wengine ambao sio misukule ya mzee mbowe ni wajinga?
Hivi seriously unapojibu hapa unafikiria kweli?
Hivi unaona ni sawa vijana wadogo wanaitwa na Jeshi la polisi na kupotea? Angekuwa mwanao ungefikiri unavyofikiri na ungekoment hapa hivi hivi
Hivi unaona ile damu ya yule mzee wa tanga haina thamani?
Hivi Ben saa 8 angekuwa nduguyo ungekoment hivi?
Mahakama zimeonyesha udhaifu mara 2 yule Mbwana kombo wa Tanga aliamrishwa aletwe mahakamani polisi wakakataa!!
Mengi mno! Mfumo wa sheria usipoaminika kutakuwa na amani?? Watu waende wapi?
Fikiria tu!!
 
Lakini magari ya kuteka na kuzurura jiji zima yapo
 
Kwani jeshi la polisi si nalo lipo kisheria na lina haki zake pia usisahau hilo!!
 
Huwa ninashangaa sana pale ninapoona taasisi/ watu wazima wanafanya mambo ya kitoto! Au watu ambao wanatakiwa kufanya mambo kitaalam, wakaleta ujinga/upuuzi kwa manufaa ya wanasiasa uchwara!

Hivi katika hali ya kawaida kabisa; magereza wanakosaje gari la kumfikisha mtuhumiwa mahakamani! Kama siyo ujinga/upuuzi/utoto; ni nini!!!
 
Sio mbaya na awamu ijayo tyre ipasuke barabarani muhimu sababu ipakane akikaaa mwezi awe kamanda hasa
 
Kwanza Kuna maandamano gari Zina hela heka kuwakabili vibaraka wa Wazungu 🤣🤣
 
a
Hizi ni njama za kumkomoa kwa amri lile shetani la kike linalojivika uchamungu bandia
 
Ndiyo maana tunasema dhamana kwa aina ya makosa anayotuhumiwa Meya mstaafu au mtanzania yoyote ni haki yake.

Sasa leo mtanzania aliyenyimwa dhamana, dola imeshindwa kumfikisha mahakamani kutokana na suala la usafiri.

Boniface Jacob angekuwa amepewa dhamana muda wa miada wa mahakama na mahakimu usingepotea bure.

Ndiyo maana inatakiwa katiba mpya isisitize haki ya dhamana inazingatiwa kwa watanzania wote bila kujali chama, wadhifa au mwenyejina wanapotuuhumiwa na kuletwa mahakamani.
 
Hakuna watu wa ovyo katika dunia hii kama Watanganyika nahisi yale mamoshi ya mwenge ambao wenyewe tunauita wa uhuru na yale makafara yaliyokuwa yakifanyika huko Bagamoyo na Lindi yameharibu vichwa vya Watanganyika! Angalia hao magereza wanamtesa Mtanganyika mwenzao kwa ajili ya kumfurahisha mtu baki!
 
Acha hizo MANGI hivi hamjiuliza kwa nini ni Chadema tu ? Hivi nyie chadema na Act Wazelondo nani mwenye impact kwnye siasa za nchi kwa sasa? Wenzenu wako kwenye serikaili kule zanziba na wala hatusikii matukio .Acheni kabisa.Ni kweli kabisa kuwa hakuna asietaka uhai wa mwenzake ila nyie misukule ya chadema jitafakarini aisee
 
Haya momoshi ya mwenge hayajawadhuru misukule ya mzee mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…