Update: Halima Hussein has come back to my life as Fatma Mohamed

Update: Halima Hussein has come back to my life as Fatma Mohamed

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Niliwahi kuandika Uzi kuhusu kisa hiki.

In case hukupata bahati ya kusoma uzi huo then let me refresh ur memory.

Ni hivi nilifahamiana na Halima Hussein in 1995. I was 10 and she was 9. I was @ Std 4 & she was @ std 3. Nilipo muona Halima Hussein kwa Mara ya kwanza, macho yangu yalipendezwa na yalicho kiona. If your eyes would be blessed to see the vision of Halima Hussein, u would consider the likes of Beyonce, Cleopatra & co as a child play. Only a fool can forget the way she looks like when she smiles.

Her beautiful smile should be prescribed by Medical Doctors for general happiness. For my personal opinion, she is the most beautiful woman to ever walk on the planet Earth. Fvck Cleopatra, fvck Beyonce. Get down with Halima Hussein. And if u get down with Cleopatra & co then fbxk u2 in Swahili.

The only person who should disagree with the sentence that Halima Hussein is not the most beautiful woman to ever walk on the planet Earth must be the one who argue that it is an understatement to state that Halima Hussein is the most beautiful woman to ever walk on the planet Earth, rather it ought to be stated that Halima Hussein is the most beautiful creature among all God's creation.

If Halima Hussein is not the most beautiful creature of God then Lord what will I do? Kama Halima Hussein angezaliwa Uyunani( Ugiriki ya Kale), Rumi ya Kale au Mesopotamia ya Kale basi wafalme wangepitisha a decree to declare Halima Hussein as a Goddess na kwamba awe ana abudiwa kwa sababu uzuri wa dada huyu sio wa dunia hii.

Kama ninge ambiwa nimbatize Halima Hussein ningemwita jina Beyonce, for the name Beyonce means " BEYOND OTHERS". Without a doubt Halima Hussein's beauty is Beyond Others. If some one is telling a love story about a beautiful woman and he is not talking about Halima Hussein I will never bother listening..

I reitarate ,For my personal opinion Halima Hussein is the most beautiful woman to ever walk on the planet Earth. She is the second to none. Don't you ever dare tell me that there is any other woman any where whose beauty can match Halima's beauty. Uzuri wa Halima Hussein ulini push nifanye kosa moja kubwa Sana katika familia yetu.

Nilijihamisha kutoka kwenye madrassa niliyo kuwa na attend pale Mkunguni na....... kwa Ustaadh Rama na kwenda kwenye madrassa ambayo Halima alikuwa ana attend. I just wanted to be feeding my eyes. I just wanted to guarantee my eyes with a constant beautiful vision.

Rafiki yangu mmoja aliniambia Halima haongeagi na strangers .So ukitaka Halima awe anaongea na wewe basi uwe unasoma kwenye madrassa Yao ( remember I was only ten here)


Nikasema kwani kuhama madrassa sh ngapi?

Halima Hussein is calling, let me attend to her call Nita kuja kumalizia story baadae.
 
Sounds very interesting.
Paula Paul . We Acha TU. Halima Hussein is something else. Mwaka 2002 nikiwa kidato cha nne nilikutana na demu mmoja. Huyo demu anafanana na Halima Hussein kwa mbaali Sana ( hiyo kwa mbali Sana itamke kwa Sauti ya Suleiman Bungara ) bahati nzuri dada huyu alisoma shule moja ya msingi na Halima Hussein so anamjua Halima Hussein ni kiumbe wa aina gani.

So nikamchekecha

Mimi : Mambo dada ? ( Alikuwa anatembea kwa haraka )

Mdada : poa . Huku anaenda.

Mimi : samahani nimekufananisha na mtu .
Mdada : huku anaenda " umenifananisha na Nani ? . ( Miaka hiyo ilikuwaga ndo staili ya kutongozea mademu.. samahani nimekufananisha.. samahani naomba kuuliza etc )


Mimi : Halima Hussein. Aliposikia Halima Hussein akapunguza mwendo.

Mdada : Halima Hussein yupi?


Mimi : nikamtajia jina la ukoo laHalima Hussein ambalo nalihifadhi Hapa. Baba ake na Halima alikuwa shekhe mkubwa Tu na maarufu


Mdada : huku anacheka cheka tabasamu pana la kutoka moyoni, Yani kama kaambiwa kafananishwa na Beyonce vile. Akasema oooh " jamani NI kweli watu wengi wananiambiaga hivyo.we sijui mtu wa ngapi unaniambia hivyo.

Mimi : nikajiongeza nikaanza kumpa vyeti. U can't believe Yule dada aliachana na safari ALIYO kuwa anaenda akanifuata mpaka ghetto na akawa demu wangu simply kwa sababu ALIPENDEZWA Sana na maneno yangu kwamba namfananisha na Halima Hussein. So I was furking kivuli cha Halima Hussein.

Mind you, dada huyu hakuwa Malaya. By that time she was at form three na ni mtoto wa kishua .
 
Unavyochanganya lugha yaani mpaka raha. Nimeshindwa kufuatilia vizuri [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
You know English is more romantic than Swahili. Kwa mfano sentensi " Baby i want to give u a surprise" Sasa wewe jichanganye weka sentensi hiyo kwa Kiswahili , itakuwa " mtoto nataka nikupe mshangao"

Anyways NI watanzania wanne Tu ambao wanaweza kutumia lugha moja pekee bila kufanya code mixing or code switching. Kama NI Kiswahili NI kiswahili chukuchuku na Kama NI kiingereza basi ni kiingereza chukuchuku


1. Prof Kabudi.

2. Dokta Lwaitama.
3. Nyani Ngabu na
4. Kiranga
 
You know English is more romantic than Swahili. Kwa mfano sentensi " Baby i want to give u a surprise" Sasa wewe jichanganye weka sentensi hiyo kwa Kiswahili , itakuwa " mtoto nataka nikupe mshangao"

Anyways NI watanzania wanne Tu ambao wanaweza kutumia lugha moja pekee bila kufanya code mixing or code switching. Kama NI Kiswahili NI kiswahili chukuchuku na Kama NI kiingereza basi ni kiingereza chukuchuku


1. Prof Kabudi.

2. Dokta Lwaitama.
3. Nyani Ngabu na
4. Kiranga
Uchanganyaji wa msimbo (code - mixing) ni jambo la kawaida lakini yako hii mpaka mtu unashindwa kujua ipi ni lugha kuu (matrix language)...

Na tafsiri ya hiyo sentensi yako inaweza tu kuwa
" Mpenzi, leo nataka nikustaajabishe" na ukaeleweka vizuri tu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Uchanganyaji wa msimbo (code - mixing) ni jambo la kawaida lakini yako hii mpaka mtu unashindwa kujua ipi ni lugha kuu (matrix language)...

Na tafsiri ya hiyo sentensi yako inaweza tu kuwa
" Mpenzi, leo nataka nikustaajabishe" na ukaeleweka vizuri tu [emoji16][emoji16][emoji16]
"Mpenzi leo nataka nikustaajabishe " kihenga sana.😁😁😁😁
Anyways am addicted to code mixing/switching.
 
Back
Top Bottom