Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Vita baina ya kenya na somalia zaendelea kunuka...Serikali ya somalia jana iliagiza Majeshi 100 kutoka Ethiopia kutua Somalia..KDF wakazuia hio ndege kutua lakini msaada wa ethiopia bado upo kwa serikali ya somalia..