UPDATE: Kenya yapanga kubadili katiba ili kuunda ofisi ya waziri mkuu

Udogo wa nchi sio tatizo, Israel ni ka nchi kadogo sana kenye watu kama 8m tu hv, lakini wana rais na PM, na USA pamoja na ukubwa wake huo, hawana hiyo nafasi!

Lakini nakubaliana na wewe kuwa kilichofanya wampe raila nafasi hiyo kipindi kile ni suala la amani. Kwa sasa kurudisha nafasi hiyo sio busara ni bora hata wakarudia uchaguzi kuliko hiyo nusu mkate.



 
https://www.facebook.com/Kenya tafuteni ufumbuzi wa kudumu wa hili tatuza, wazazi wanapata machungu yasiyo na kifani, mbaya zaidi kila uchaguzi unapomalizika mnazalisha watu wengi wenye chuki dhidi ya watawala na kuongeza migawanyiko ya kikabila. Tunazidi kuwaombea
 

israel rais sio kiongozi wa serikali, na wala hapjgiwi kura na wananchi. ule ni urais hewa kama tu germany.
 

Kubuni nafasi kwenye uongozi huwa lazima pawe na umuhimu fulani, binafsi nimewahi kuhusika katika kuandaa muundo wa kampuni (organizational structure), nakumbuka mahesabu tuliyokua tunapiga ya nguvu kazi (human resource), tulibuni nyadhifa na kuondoa zingine na kuunganisha baadhi hadi tukahakikisha ufanisi.

Kazi hiyo hiyo ndio ilifanywa na wataalam waliohusika kwenye kuandaa katiba mpya, hivyo hatuwezi kuwa tunabuni nyadhifa kiholela kila tukiwa na matatizo kwenye uchaguzi. Inafaa ifahamike kila kiongozi, awe mbunge, gavana au hata diwani huwa yupo radhi kutafuta kila mbinu za kumpa ushindi na madaraka. Hivyo hata ukibuni nyadhifa ngapi, bado hawataridhika, lazima ibidi pawe na mshindi mmoja aongoze nchi.
 
israel rais sio kiongozi wa serikali, na wala hapjgiwi kura na wananchi. ule ni urais hewa kama tu germany.
Hilo natitambua, lakini nikukumbushe kuwa hata waziri mkuu wa Israel hachaguliwi moja kwa moja na wananchi, huteuliwa na rais kutoka miongoni mwa wabunge.

Ukifuatilia mfumo wa Israel uko tofauti kidogo na mifumo ya nchi nyingine, maana hata kwenye kuchagua wabunge, wananchi hawachagui mtu bali huchagua chama.
 
Ndo maana nikasema ni vyema kurudia uchaguzi kama hakutakuwa na njia nyingine kuliko kugawana madaraka.
 

israel prime minister is the head of government of Israel and the most powerful figure in Israeli politics. Although the President of Israel is the country's head of state, the president's powers are largely ceremonial; the prime minister holds most of the real power.
 
Pia Australia , UK wanainchi wanachagua chama wala sio watu sasa wanachama ndio wanachagua viongozi wao wenyewe...hivi mtu yeyote anaye support ya chama yake awe mwanaume au mwanamke anaweza kuwa Rais hata na pia wanaweza kutoa Rais muhula wake unapo endelea .....hii ndio NASA ilikuwa inataka kuweka kwa katiba iwapo wangeshinda urais na kutoa hii ya chama mbili....inge maliza ukabila juu kwa huu mfumo watu wa Chama wakichoka na kiongozi wao hata baada ya mwaka wanamtoa nje tu na kuweka kiongozi mpya wa chama hvo basi kupendua rais kama Australia mwaka ulio pita walibadilisha Rais mara 3 na UK mara 2 ......hii mfumo na usupport juu utahakikisha chama iwe jubilee imeshinda au NASA
issue zao zita tiliwa mbele na Rais itakuwa mtu yeyote ambaye wanachama wanamchagua hivyo basi kutoa mambo ya Ukabila kwa kiti cha urais....hakungekuwa na chuki kwa sababu watu watakuwa wanapigia chama kurs hvyo kama Jubilee ilivyo mtu yeyote akiamua kumtoa Uhuru kama kiongozi wa Jubilee tuseme ni Ruto na atake kuwa Kiongozi ana ambia wana chama wampe kura akiwa kiongozi pia anakuwa Rais......hyo issue ya PM hata NASA hatutaki!!
 
nilidhani mlishamalizana na issues za ku-discuss katiba baada ya kupata katiba yenu mpya mliyoisifia sana wakati ule ilipokamilika.kumbe bado?.smh
 
Kwani kuna nilichokikataa kati ya haya uliyoandika tangu mwanzo? Maana naona unaendelea kuleta writings ambazo ni unrelated
 
nilidhani mlishamalizana na issues za ku-discuss katiba baada ya kupata katiba yenu mpya mliyoisifia sana wakati ule ilipokamilika.kumbe bado?.smh
USA gots its current Constitution in 1744

Has had on average 48 attempts to constitutional ammendments a year

In the last 220yrs

Of this 10,560 attempted ammendments only 11 have gone through this include

Right to an attorney upon arrest
And Right to An achieavble bail by court

Right to deny self Purgery ie
I PLEAD THE 5th

2nd ammendment ya Right to own Guns and other weapons

Right to have a jury of your peers to help determine your fate during a civil case...

Pia ile slavery ammendment act to equate black persons as humans and thus offered the same rights as white people

Women voting and black people

Hizi zote hazikuwa kwa katiba original ya marekani 1776 walipo pata uhuru but are ammendments that passed in congress and went ahead to the supreme court then Referendum!!!


Mkianza kupingana muwe na Akili tafadhali

What may look democratic today and a major norm may tomorrow change ....katiba ya Kenya while i dont think needs a PM needs further ammendments that will be bi partisan and should be pi partisan ie both divides support!!

Kenya ya sai sio ile itakayo kuwa hapa 2117
 
Sam hili suala la kuweka mfumo kama wa Israel na Australia NASA ndo wanalitaka au ODM ndo walikuwa wanalitaka?

Maana kama NASA wanalitaka sa hz ni dhahili utekelezaji wake ni mgumu, lakini kama ODM ndo walilitaka hili kipindi kile nashangaa kwa nini mlishindwa kulikubali.

NB nimeangea ODM na NASA kama vitu viwili tofauti maana kuna watu hawakuwa ODM by then ila sa hz wako NASA & vice versa
 
Kwani kuna nilichokikataa kati ya haya uliyoandika tangu mwanzo? Maana naona unaendelea kuleta writings ambazo ni unrelated

ulitolea mfano israel, sasa inawezekana vp rais wa kenya anayechaguliwa na wananchi asiingoze serikali na azidiwe nguvu na PM wakati yeye rais ndo aliyepigiwa kura?! labda ungetolea mfano tanzania, na hata hivyo pia haitasaidia upinzani make rais atateua PM kutoka chama chake.
 
Ilikuwa NASA ndio maana wakasema they will create an office for all 5 principles who would have been position left to assist in a referendum campaign iwapo watashinda
 
 
Sio ngumu infact all the politicians especially upande wa Jap na the NCCK wamehint kuwa wanataka huu mfumo shida ni

Most Jubilee politicians dont like Raila wakimwona anafanya chochote hata kama ni nzuro kwa nchi hawataki kuonekana wamekubaliana na yeye...

Kimbuka ile issue ya underground water piper kule central ya Kulet maji Nairobi

Raila na NASA waligundua kwamba ma cartels wanatumia serikali kuunda a pipeline project to convey water from springs in central Kenya in underground pipeline kufika Nairobi a move thay would have screwed up people water sources in central he went ahead and called a conference and put forward the issue initially all central mps from that specific region walikuwa on the same page na yeye but as soon as Ruto came and opposed it..they all shifte their stances immediately and told Raila to keep of central Kenya issues



Alafu a month later this happened
 

Lol! Hukufuatilia tumeanzia wapi na MK254 hadi nikatolea mfano wa Israel. Ni bora uwe unafuatilia vizuri kwanza. Labda ngoja nikukumbushe.

Nimetolea mfano wa Israel baada ya MK254 kusema Tanzania kwa sababu ya ukubwa wake lazima iwe na waziri mkuu ili kusaidiana kuongoza, na akasema kwa kuwa Kenya ni ndogo na watu wako eneo dogo hawahitaji kuwa na PM. Mimi ndo nkamwambia hoja ya ukubwa wa nchi haina mashiko kwenye kuweka nafasi ya rais na PM, ndo nkatoa mfano wa nchi ndogo kama Israel ambayo ni ndogo sana lakini hawakuangalia kigezo cha size wakaona inawafaa kuwa na rais na PM.

Wewe hapa ndo ulipokuja na kudai kuanza habari za ceremonial figure, kitu ambacho nakifaham na wao waliamua kufanya hivyo kwa matakwa yao.

Nadhani umejua tunachokijadili.
 
Nimesema inaweza ikawa ngumu kwa maana kuwa hilo suala ni la mabadiliko ya katiba. & u know constitution reform ni process. Sijui kama jubilee watakubali hili mda huu
 
Nimesema inaweza ikawa ngumu kwa maana kuwa hilo suala ni la mabadiliko ya katiba. & u know constitution reform ni process. Sijui kama jubilee watakubali hili mda huu
Shida sio jubilee shida ya Constitutional amendments bado itakuwa under IEBC kama IEBC iko corrupt na interference hata tukienda referendum bado tutarudi same place .....


Jubilee has no say in this

To get a constitutional reforms you just need 1mn signatures from Kenyans and Campaign funds
 

You need funds right? Na jubilee aren't that much stupid to finance any reforms that may put them in jeopardy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…