Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Udogo wa nchi sio tatizo, Israel ni ka nchi kadogo sana kenye watu kama 8m tu hv, lakini wana rais na PM, na USA pamoja na ukubwa wake huo, hawana hiyo nafasi!Kwani Leo kigezo ni nini kama sio hicho hicho cha kipindi kile.
Nchi yenu kubwa sana hivyo kutawalika na rais mmoja ni shughu yaani uwaze kutoka Lindi hadi uishie Ukerewe ni kazi kweli kweli, lakini kainchi ketu kadogo na wengi tumekusanyika eneo ndogo lenye rotuba sasa tubuni nyadhifa zote hizo za nini
Lakini nakubaliana na wewe kuwa kilichofanya wampe raila nafasi hiyo kipindi kile ni suala la amani. Kwa sasa kurudisha nafasi hiyo sio busara ni bora hata wakarudia uchaguzi kuliko hiyo nusu mkate.
Kwani Leo kigezo ni nini kama sio hicho hicho cha kipindi kile.