Babylon tower
Member
- Mar 31, 2014
- 60
- 11
jamani kama kuna mtu ana update kuhusu post za ualimu second selectio naomba anijuze maana nimekuwa so confused na cku ndo ivo znaenda!!!!!
Nenda SIKONGE uka-replace nafasi yangu, mimi sijaenda kuripot.
Kuna watu wa masomo ya pure science wameachwa kimakosa (walimu wa chemistry mathematics).
Nnaimani watatoa post nyingine la sivyo serikali itakuwa haina malengo.
Duu ! Poleni sana! Mkuu mi nakushauri tafuta ishu ya kufanya ukiwa unasubiria si unajua mambo ya serikali yetu?usijekushtuka kumekucha.
Kwa tarifa nilizonazo ni kwamba hakuta kuwa na second selection sababu idadi iliyo takiwa ni 36000 tu na hivo wale wa st.john wameziba mapengo ya wale ambao hawaja riport na hilo limechangiwa na ufunyu ba budget. Hii ni kwa mujibu wa chanzo cha uhakika.

mkuu kuna dogo kitaa ana PHYSICS .CHEMISTRY na hawajampanga hawa tamiseni sijui wakoje
Ujielewi ww acha kutowa povu kwa kitu usichokijuwa