Update kuhusu post za ualimu second selection

Babylon tower

Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
60
Reaction score
11
jamani kama kuna mtu ana update kuhusu post za ualimu second selectio naomba anijuze maana nimekuwa so confused na cku ndo ivo znaenda!!!!!
 
Duu ! Poleni sana! Mkuu mi nakushauri tafuta ishu ya kufanya ukiwa unasubiria si unajua mambo ya serikali yetu?usijekushtuka kumekucha.
 
Kwa tarifa nilizonazo ni kwamba hakuta kuwa na second selection sababu idadi iliyo takiwa ni 36000 tu na hivo wale wa st.john wameziba mapengo ya wale ambao hawaja riport na hilo limechangiwa na ufunyu ba budget. Hii ni kwa mujibu wa chanzo cha uhakika.
 
Kuna watu wa masomo ya pure science wameachwa kimakosa (walimu wa chemistry mathematics).

Nnaimani watatoa post nyingine la sivyo serikali itakuwa haina malengo.
 
mkuu kuna dogo kitaa ana PHYSICS .CHEMISTRY na hawajampanga hawa tamiseni sijui wakoje
 
Mcjali jamani mungu atawasaidia tu na mtapata nanyi ajira
 
Duu ! Poleni sana! Mkuu mi nakushauri tafuta ishu ya kufanya ukiwa unasubiria si unajua mambo ya serikali yetu?usijekushtuka kumekucha.

Kwa tarifa nilizonazo ni kwamba hakuta kuwa na second selection sababu idadi iliyo takiwa ni 36000 tu na hivo wale wa st.john wameziba mapengo ya wale ambao hawaja riport na hilo limechangiwa na ufunyu ba budget. Hii ni kwa mujibu wa chanzo cha uhakika.

MKUU,una uhakika?????
 
Ujielewi ww acha kutowa povu kwa kitu usichokijuwa
 
kwa taarifa kutoka kwa mkuu wa shule ya sekondari moja,ameniambia kutakuwa second selection.
 
mkuu kuna dogo kitaa ana PHYSICS .CHEMISTRY na hawajampanga hawa tamiseni sijui wakoje

Halafu wale wa Kiswahil na History wamepangiwa kibao ndio maana walisababisha tukapata vibendera vya Maths
 
Ujielewi ww acha kutowa povu kwa kitu usichokijuwa

Mkuu hutakiwi kuwa mkali hasa kwa kitu unacho hitaji kujuzwa,kuna wenzio humu humu nliwaambiaga mwezi wa pili kuwa ajira za walimu hadi mwezi wanne wakanitusi na kejeli kama wewe ufanyavyo lakini mwishoni wakajikuta yamekuwa.. Sasa hata wewe ukinitusi haina shida maadam siku zipo na utashuhudia.
 
Back
Top Bottom