UPDATE: Leah Ulaya arejeshewa Urais wa CWT

UPDATE: Leah Ulaya arejeshewa Urais wa CWT

Mpe Hongera sana na mwambie kwamba anasalimiwa na JKT mate wake Bulombora Operation Vyama Vingi. Yeye alikuja Bulombora baada ya kupigwa bogi kutokea Msange JKT Tabora

Dah! Nilikuwa 821 KJ Bulombora, Operation Kujihami, Gangwe Coy 1982-1983. Hanga lile kubwa tulijenga wenyewe! Mchakamchaka usiku usiku hadi Mwakizega! Mkuu wa Kikosi Lt Colonel Sandi Ligati, Msaidizi wake Major Lyanga! Umenikumbusha mbali sana Dada/Brother.
 
Sisi ilikua ni MIAKA 10 baada ya wewe kuondoka pale. Sisi tulikuwa na Colonel Mwankenja na Major Mzena. D-coy tulikuwa na Capt Ndilahomba, mwenyeji wa huko huko Kigoma. Baadaye nilikuja kuhamia Batallion nikahamia ziwani KARIBU na migebuka.
 
Back
Top Bottom