Resurrection
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 952
- 1,267
Kama munajua shida wanazozipata wafanyabiashara kwa TRA mungeufyata mdomo wenu lakini chuki zimewajaa katika vifua vyenu ndio maana munatapika povu hapa.
Tanzania ni nchi ya bahati na ni tajiri lakini inashindwa kutumia fursa zake ,imepakana na nchi kama 5 lakini wapiiii kwenye miti hakuna wajenzi leo Tanzania ingekuwa ndio kitovu cha biashara katika nchi zote za jirani lakini tuna viongozi vilaza hawana VISION.
Leo TRA wanashindwa kutafuta mbinu mpya za kutafuta kodi au kuwa na systerm ya uhakika wanapigana vikumbo kwa vibox vya wafanyabishara wkt vishalipiwa kodi comon shame on you TRA.Wake up tuko karne ya 21 .