Resurrection
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 952
- 1,267
Wao wanamtaka Rais, kwani ubaya Nini. Hao ndio wenyenchi wasikilizwe.Wanajikuta wakina nani hao nao, wamemtaka Rais kamuagiza Waziri Mkuu wake na waliambiwa jumatano (kesho) watakaa kikao na Waziri Mkuu bado wanakaidi, acha waendelee kufunga siku wakiamua watafungua.
Hata Kwa akili za akili za kawaida mtu mwenye store 5++ akae pale msimbazi Polisi anampigia makofi Amos MakalaHili huenda ni sahihi, niliona sura zao wale jamaa nikahisi huenda PM alidanganywa ndiyo maana wakatoa Mkeka wa Kumhamisha Mkuu wa mKoa Usiku Mnene
Hajulikani maana viongozi wamesema wanafungua ila maduka yao hayajafunguliwaWananchi washajua porojo za wanasiHasa,kilichobaki Kuna mtu namuona(hasa kinara wa mgomo) anapelekwa mabwepande kung'olewa kuchraaa.
Hahaha.................ila Nchi yetu ngumu sana kwa kweli, Siasa zimejaa kila mahali.Hata Kwa akili za akili za kawaida mtu mwenye store 5++ akae pale msimbazi Polisi anampigia makofi Amos Makala
Mbona hao Wafanya biashara Jana walimkubalia Mhe. Waziri Mkuu na kuhaidi kusitisha mgomo wao.
Au ndiyo kusema Jana waliogopa yale mabinduki hivyo kujikuta wamekubali.
Au kuna nguvu nyuma yao inayowashinikiza kuendelea na Mgomo. Maana 2025 ni mwaka Keshokutwa tu [emoji848]
Hahahaha............Nchi ngumu sana hii Mkuu.Mkuu kwa mfano ungekuwa ww ndio kiongiz wa soko umepewa maik mbele ya wale mabwana pale wanakutazama kwa uchu vile ungesema hatufungui ? Mzee wa watu Yule
Ana familia inamtegemea
Mimi naamini njaa haina baunsa.Waachie frem hizo kama vipi
Ili iwalazimishe kuuza mali zao wenyewe? Au hizo bidhaa zinaozouzwa hapo Kariakoo ni mali ya seriakali kiasi kwamba inaweza kuwaamuru kuuza hata kama wao hawataki?
Kwa hoja hiyo hata leseni hawatakiwi kukata maana ni mali zao wenyewe si za Serikali.
Bunduki zingewafanya nini?Mbona hao Wafanya biashara Jana walimkubalia Mhe. Waziri Mkuu na kuhaidi kusitisha mgomo wao.
Au ndiyo kusema Jana waliogopa yale mabinduki hivyo kujikuta wamekubali.
Au kuna nguvu nyuma yao inayowashinikiza kuendelea na Mgomo. Maana 2025 ni mwaka Keshokutwa tu [emoji848]
Washikilie hapo hapo kwani yeye ndio anayesababisha matatizo yao. Katiba mpya muhimu!Hatufungui mpaka aje raisi wa Tanzania kusikiliza kero zetu
ZingewaogopeshaBunduki zingewafanya nini?
Kwa hali ya kuwa Tanzania na watu kama wewe tutashindwa kubadilika. Serikali jukumu lake ni kuongoza na sio sio kuwa wababe na kulazimisha kila kitu wanachoona wao ni sawa tu.Serikali ikamate viongozi wa mgomo na mechi itaisha wanaona Rais ni mpole Wana mchezea