UPDATE: Mshukiwa wa mauaji ya watu 10 kwa Kisu akutwa amefariki

UPDATE: Mshukiwa wa mauaji ya watu 10 kwa Kisu akutwa amefariki

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
UPDATES:

Polisi wamethibitisha kuwa mwili wa Damien Sanderson, mmoja kati ya washukiwa wawili waliohusika na mauaji siku ya Jumapili huko Saskatchewan umepatikana katika eneo la James Smith Cree Nation.

Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi, washukiwa hao wawili ni ndugu na tahadhari imetolewa kuwa mshukiwa mwingine Myles Sanderson bado yuko uraiani na anaaminika kuwa katika jiji la Regina.

Watuhumiwa hao walifanya shambulio la kutumia Visu na kuwaua watu 10 huku wengine 18 wakijeruhiwa katika mojawapo ya matukio mabaya zaidi ya ukatili dhidi ya binadamu nchini humo.

=================================

Polisi inawasakaa watu wawili (Damien Sanderson, 31, na Myles Sanderson, 30) wanaoshukiwa kwa mauaji ya watu 10, wauaji hao walitumia visu kuwachoma na kujeruhi raia katika eneo Saskatchewan na kisha kutokomea kusikojulika.

Waziri Mkuu Justin Trudeau amesema tukio hilo la kuchomwa visu ni kati ya matukio 13 ya uhalifu mabaya zaidi katika historia ya uhalifu wa mauaji ya Canada na kuongeza kuwa serikali inaomboleza na kila mtu aliyeathiriwa na shambulio hilo.

Kwa mujibu wa Polisi, wanaume hao wawili walionekana wakisafiri kwa gari nyeusi aina ya Nissan Rogue na walionekana katika mji wa Regina, kilomita 320 kusini mwa kijiji cha Weldon.
==============================

Canadian police hunted for two suspects in a stabbing spree that killed 10 people and wounded at least 15 others mostly in a sparsely populated indigenous community early Sunday.

The stabbings across 13 crime scenes were among the deadliest mass killings in modern Canadian history and certain to reverberate throughout the country, which is unaccustomed to bouts of mass violence more commonly seen in the United States. read more

"I am shocked and devastated by the horrific attacks today," Prime Minister Justin Trudeau said in a statement. "As Canadians, we mourn with everyone affected by this tragic violence, and with the people of Saskatchewan."

Police named the two suspects as Damien Sanderson, 31, and Myles Sanderson, 30, providing photos and descriptions but no further details about their motive or the victims.

In May, Myles Sanderson was listed as "unlawfully at large" by Saskatchewan Crime Stoppers, a program that encourages the public to cooperate with police. There were no further details about why he was wanted.

The two men were seen traveling in a black Nissan Rogue and spotted in the city of Regina, about 320 km (200 miles) south of the attacks in the James Smith Cree Nation and the village of Weldon, police said.

REUTERS
 
Dah watu wamedata sijui ni mambo ya gas ya Urusi yanawadatish
 
Back
Top Bottom