UPDATE: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

Tuliosomea University Of Havana Cuba, tumeelewa lengo la haya matukio ni kutujulisha huna mwanaume na unatamani upate wa kukaa nae.

Kama ni nyoka hapo hakuna nyoka...
Tuliosomea University Of Havana Cuba, tumeelewa lengo la haya matukio ni kutujulisha huna mwanaume na unatamani upate wa kukaa nae.

Kama ni nyoka hapo hakuna nyoka...
Sipati picha waliosomea University of Kandahar Afghanistan 🤣
 
Nicheki PM next time iwe rahisi zaidi kukuokoa on serious note.
I like the boy's spirit. You raise no fool. His bravery is unspeakable, ukinganisha na umri wake. Safi!
Next time don't deny his bravery showcased!
Yes ni ka jasiri namshukuru Mungu
 
Tuliosomea University Of Havana Cuba, tumeelewa lengo la haya matukio ni kutujulisha huna mwanaume na unatamani upate wa kukaa nae.

Kama ni nyoka hapo hakuna nyoka...
Huyo mwanaume ntampataje sasa na PM nimeifunga?
 
Pole, kuna jirani yangu yeye akiniona tandu usiku asubuhi kakimbiza familia wakaja watu kumfanyia usafi walichokuta ni tandu wa zamani aliyekufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀🤣🤣
 
You have got a brave young man. At his age he need a father to direct him. Make sure he is able to see his father as often as possible as it seems you are raising them alone.
He is very brave mkuu.
Thank you.
 
Junior kama Junior kaua nyoka [emoji23][emoji23][emoji23] umempa gift lakini for his bravery behavior [emoji16]
 
Upumbavu mtupu kwan unaishi karibu na pori la akiba eti masai mara mlinzi hii ni biashara ya ukahaba inatangazwa watakuja tu pm
 
Kwani ungefupisha tu stori kwa kuandika kuwa Junior alikuja chumbani akamuua nyoka badala ya kuweka hayo maongezi kwa lugha ya kibeberu. Stori nzuri ila ilivyoingia mambo ya ushua imeharibu kabisa. Kama una kadi ya CCM njoo PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…