[emoji16][emoji16]aiseewameanza kazi tangu jumatatu ndugu, nina mdogo wangu ametoka kazini muda sio mrefu, wanatoka saa kumi kamili jioni
Yaani imebidi nicheke tu.wameanza kazi tangu jumatatu ndugu, nina mdogo wangu ametoka kazini muda sio mrefu, wanatoka saa kumi kamili jioni
Namaanisha process za Kuanzia kuitwa interview sababu baada ya wiki mbili kwa mujibu wao watakua washaita watu interview
Hata nafasi za Tasac pia bado naona kimya kirefu
wameanza kazi tangu jumatatu ndugu, nina mdogo wangu ametoka kazini muda sio mrefu, wanatoka saa kumi kamili jioni
Hahahahahaha!kweli kazi kazi..yaani watu wapo wanasubili interview ila wengine washaaanza kazi KBS.
Mimi niliomba connection kwa mtu fulani kigogo najuana naye akanivungia basi hata sikuomba hizo nafasi kwani nilishajua mapema sintotoka bila ya connectionKazi zimejaa kujuana
Na hazipitii utumishi, labda zingekuwa zinapitia utumishi pengine mambo yangekuwa na afadhali.Mimi niliomba connection kwa mtu fulani kigogo najuana naye akanivungia basi hata sikuomba hizo nafasi kwani nilishajua mapema sintotoka bila ya connection