Mgaratia Wa bongo
Member
- Oct 4, 2020
- 72
- 76
Nel
Bro, uwepo wa vyuo vikuu huongeza mzunguko wa pesa katika eneo husika kwa sababu ya uwepo wa watu wengi, so purchasing power ya watu huongezeka kwa mantiki hyo wenyeji wa eneo husika watauza sana bidhaa zao. Kumbuka Dsm na Dom vyuo vikifunga TU biashara huwa ni ngumuSijui
Sijui una maanisha ni kusema serikali haikujenga vyuo usukumani kwani morogoro vyuo walijengewa waluguru? Na dar walijengewa wazaramo?? Poor argument. Alaf Arusha Sijui chuo gani serikali iliwahi jenga labda ufafanue mimi natoka Arusha nafikir Arusha hamna chuo kikuu cha serikali hadi