Updated List: Haya ndio makabila yenye wasomi zaidi Tanzania

Nel
Bro, uwepo wa vyuo vikuu huongeza mzunguko wa pesa katika eneo husika kwa sababu ya uwepo wa watu wengi, so purchasing power ya watu huongezeka kwa mantiki hyo wenyeji wa eneo husika watauza sana bidhaa zao. Kumbuka Dsm na Dom vyuo vikifunga TU biashara huwa ni ngumu
 
Arusha Kuna vyuo kama vinne hivi.ESAM, UHASIBU, NELSON MANDELA NA TIA ARUSHA.
 
Takwimu hizi ni za zamani sana, kwa sasa hakuna kabila lisilojua umuhimu wa elimu hizo shule unazosema wilaya nyingine zipo hadi vijijini yaani kama tunavyoona umeme na rami vimefika hadi mashambani kabsa.
 
Kwa sasa vyuo vingi hasa course za Engeneering,udaktari na Education Wasukuma ni wengi! Mfano hata DIT au UDSM wasukuma ni wengi sana nadhani kuzidi hata wao Wachaga na Wahaya hii ni kutokana na wengi wao kitaifa na wingi wa mikoa wanayotoka pia!
 
Kanda ya ziwa bado inaongoza
 
Kanda ya ziwa bado inaongoza
Thread haijazumngunzia kwa ukanda usijifiche kwenye ukanda

na hata hivyo kwa percentage wise ya wasomi kulingana na idadi
ya watu waliopo kwenye kanda husika Kanda ya Kaskazini itaongoza ikifuatiwa
na Nyanda za juu kusini.
 
Kwa sasa vyuo vingi hasa course za Engeneering,udaktari na Education Wasukuma ni wengi! Mfano hata DIT au UDSM wasukuma ni wengi sana nadhani kuzidi hata wao Wachaga na Wahaya hii ni kutokana na wengi wao kitaifa na wingi wa mikoa wanayotoka pia!
Wasukuma ni wengi by numbers not promotion. Unategemea Wasukuma wawe sawa darasani na waluguru?
Kama Wasukuma wanafika m8 na waluguru m1!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…