UPDATES: Chelsea VS Arsenal EPL - April 26, 2015

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,130
Chelsea ya Mou kuendeleza ubabe dhidi ya Arsenal ya Wenger?

Saa 12:00 jioni mbichi na mbivu kujulikana!

Usikoseeeeeeee!

Sote jujumuike hapa!
 
Wakuu msaaada...chimbo gani Dar zuri kwenda kucheki hili gemu nshachoka kuangalia baa ya jiran kwetu
 
wamekutana mara 12
chelsea kashinda 7
wametoka sale 5
Je wenger atavunja mwiko leo?
 
tuna historian ya kulivunja daraja kumbuka ule mwaka Wa unbeaten
 
wamekutana mara 12
chelsea kashinda 7
wametoka sale 5
Je wenger atavunja mwiko leo?

Mhhh leo kuna utata sana kwenye hii gemu...machale yananicheza sana! Huenda chama likapigwa leo ama suluhu! Sina amani na hii gemu!
 
Chelsea anashinda pale uwanja wa ndege wa julious nyerere
 
mou ni mmoja kati ya makocha wazuri kwenye eneo la ufundi na kumsoma mpi zani wake pia japo wakati mwingine huo anapotea so sidhani kama itakuwa rahisi kwa Wenger kuondoka na point tatu kutoka kwa huyu jamaa kwa mara ya kwanza, anyway lolote linaweza kutokea.. its all about futball
 
Nipo tabata mkuu. Nataka nkacheki gem nje ya tabata kabisa

Usikimbie tabata.......kuna machimbo kibao sana! Pale segerea karibu na uchumi bondeni kidogo pale kuna chimbo limetulia sana. Pale kimanga freeland sio haba kimtindo, Mawenzi bara nako sio mbaya kutazama mtanange!

Ila kama unataka kabisa kutokomea tabata...unaweza kwenda maeneo ya buguruni kuna uhuru bar pale nako pazuri sana panajaa sana na makelele kibao!

Gerogina bar karibu na st mary's papo pia bila kusahau bar fulani mbili hv mpya zimefunguliwa along road ya st. mary's nazo zimesimama kiaina!

Ama vp maeneo ya chang'ombe nako kuna bar mbili pale stendi ya mabasi sio haba pako poa kabisa!
 

Hii gemu mou anaweza kupoteza km sio pt 3 basi 2......sina amani na hii gemu!
 
Wenger lazma awanyooshe chelsi hilo mbona halina ubishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…