Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu msaaada...chimbo gani Dar zuri kwenda kucheki hili gemu nshachoka kuangalia baa ya jiran kwetu
wamekutana mara 12
chelsea kashinda 7
wametoka sale 5
Je wenger atavunja mwiko leo?
Mshindi ni Chelsea
tuna historian ya kulivunja daraja kumbuka ule mwaka Wa unbeaten
Pande gani umechil by now...machimbo yapo kibao tu!
Nipo tabata mkuu. Nataka nkacheki gem nje ya tabata kabisa
mou ni mmoja kati ya makocha wazuri kwenye eneo la ufundi na kumsoma mpi zani wake pia japo wakati mwingine huo anapotea so sidhani kama itakuwa rahisi kwa Wenger kuondoka na point tatu kutoka kwa huyu jamaa kwa mara ya kwanza, anyway lolote linaweza kutokea.. its all about futball
Chelsea anashinda pale uwanja wa ndege wa julious nyerere
Wakuu msaaada...chimbo gani Dar zuri kwenda kucheki hili gemu nshachoka kuangalia baa ya jiran kwetu