unafiki UPI?Watanzania kwa unafiki tunaweza kuongoza, unaweza kukuta wewe ni wa 6 au wa 7 kuzaliwa kwenu, hujawahi kumshangaa mama yako ila zari kuzaa mtoto wa 5 mnaona ajabu. Mungu anatuona.
hongera sana aiseeJamani namie nipeni pongezi kwani my wife naye kajifungua ila huku tarime hua hawaendi hosp so ilikua Leo saa sita akiwa shambani........
Epidural imefanya kaz hapo unazaa kirahisiAu mwenzetu uchungu wake sio mkali sana mana navoujua ule mchakamchaka si kwa kujipodoa vile
Wew mwenyew mtoto wa zina ndo mana chuki imekutawalamtoto wa zinaa huyo ndo anasubiriwa...
uwezo wa kufunga ndoa wanao ila sheitwan kawatawala vichwan huku wakiendelea kufyatua watoto wa haramu...
Diamond na Zurina kwanini hawafungi ndoa na uwezo wanao?
Mimba zenye ulikuwa unaporomoshaaEpidural imefanya kaz hapo unazaa kirahisi
Hivi hii bongo IPO maana naonaga huko mbelezi wanachomwa ukichanganya so hawaumii ka wa kibongo kavu kavu yani loh!Epidural imefanya kaz hapo unazaa kirahisi
But mwenzio kila akizaa watoto ma star co wako hata shule wanazosoma mwl Mkuu hamfahamuHuyu mama soo
Da hapitishi miaka bila kuingia labour
Wenzetu wa mbele washasahau mambo ya kuzaa kwa kisu cc bado tupo nyuma sana na Anko magu wetuHongera kwao,..ila bibie kwa kutaga nomaa...siku akizaa na kisu nadhani atafunga mirija..ukizaa natural complications ni chache.,
Unauwakika wew umezaliwa ndan ya ndoa, au sababu mama ako hajakwambia kama alimchit mdingi wakounafiki UPI?
aolewe basi dah!namuonea huruma kweli..maana kwa sheria za dini daimomd hao si watoto wake
Kibongo bongo bado sanaa we ushangai mpaka leo tunazaa kwa kisu na wenzetu washasahau mambo ya kisu labda mama awe na matatzo au mtoto azaliwe kabla ya ckuHivi hii bongo IPO maana naonaga huko mbelezi wanachomwa ukichanganya so hawaumii ka wa kibongo kavu kavu yani loh!
Hongera zake. Lakini sasa huyu kijana ndio ataanza kumuelewa vizuri baba yake.Moja kwa moja kutoka Pritoria tupo hapa nje tunamsubiri Chibu Junior. Tumuombe MUNGU ATOKE SALAMA...
Labda wakoBut mwenzio kila akizaa watoto ma star co wako hata shule wanazosoma mwl Mkuu hamfahamu
GoodUnauwakika wew umezaliwa ndan ya ndoa, au sababu mama ako hajakwambia kama alimchit mdingi wako
Huijui nyota ya "bluu"??Juzijuzi kamzaa Tiffany Leo tena yuko wodini? Kwani ana watoto wangapi???
Chibu mwenyewe hata uislam haujui hata hyo zarina hayo mambo ya dini sizani ka wanafatiliaunafiki UPI?
aolewe basi dah!namuonea huruma kweli..maana kwa sheria za dini daimomd hao si watoto wake
Kwa huu msimu wa blaza Magu atasubiri sana. Labda kampuni uchwara au hewa!
Make wasanii wakikosa watatuzuga tu followers na mchezo unaisha.