Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mich Mich you wa mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona mie sijafunga? [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mich Mich you wa mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona mie sijafunga? [emoji12]
Moja kwa moja kutoka Pritoria tupo hapa nje tunamsubiri Chibu Junior. Tumuombe MUNGU ATOKE SALAMA.
MUNGU AWABARIKI MAMA NA MTOTO.
------ Updates -------
Hatimaye Zari na Diamond wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume aliyezaliwa saa 10:35 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, Jumanne, December 6.
Mtoto huyo amezaliwa kwenye hospitali ya NETCARE ya Pretoria nchini Afrika Kusini.
Diamond na Zari wameonesha furaha kwa ku-share picha za mtoto kwenye mitandao yao ya kijamii...
View attachment 443266
View attachment 443267
View attachment 443268
View attachment 443269
View attachment 443288

Uchungu anao sema mazoez meng Dada zet wanaanza kujlegeza tang mimba inacku kum cku ya kwenda leba ndio kiwete akitoka kama anajfundsha kutembea ndio tab ila zar mazoez na anajua kutunza kiwanda chake ndio maana kila cku anaoneka mbichiiiiii watoto wa tano kama hajazaa miss wetu 2016 hana hata mmoja lakn kachoka kama ndala ya choon mtafute mwanamke mwenye watoto wa tano ss iv kashajchokea hatak tena kuvaa surual wala pedoUyo Zari hanaga uchungu eeh