Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Haya ndiyo mawazo bora ya mwafrica 2016! wee jamaa utakuwa maskini wa akili unakusumbua

[emoji3][emoji3][emoji3]wewe ndio mawazo ya kiafrika kabisa kwamba kila Mtoto anakuja na riziki yake wapi angalia uwezo wako wa kusomesha na kumlea usije wapa Tabu jamaa zako kutwa kuomba misaada zaa ili uweze kuwalea
 
Ujue kuna wajinga sana.wanavyomsema zari utafikiri mimba wanabeba wao.
 
Kutiwa ana tiwa yeye,mimba anabeba yeye,kuzaa anazaa yeye.wewe unaumizwa na nini?wakati wewe hata mtoto mmoja hauna.mimba umetoa mpaka kizazi kimetoka.alafu unakuja kumsema mwenzenu anayezaa.mwacheni azae.mayai yana mwisho wake.na uwezo pia anao wa kuwalea.
 
mondy akimbize mpaka wafikie gwala...kila mwaka.aweke tuu!!.....noti si ipo watoto watasoma tuu.....bhana..
 
Hivi ni kwel et platinum hana kiZAz watoto wa nan sasa
 
Hivi ni kwel et platinum hana kiZAz watoto wa nan sasa
 
Huyu Zari.. mashine yake siielewi kabisaa
 
Kwanini mkuu unamshauri hivyo? Kati ya kuzaa na tendo kipi unamaanisha ni hobby? umewahi kuzaa hata mara moja hadi kujua kama inaweza kuwa hobby au isiwe hobby? Tupe experience yako ya hobby ya uzazi toka umeanza kuzaa!?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…