MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,007
Leo ndio leo
Baada ya kuona kimya nikaona isiwe vibaya nianzishe
Leo mechi itakuwa uwanja wa bwawani sijui gombani
Kati ya timu tishio duniani ya dae es Salaam young afrika aka nyuma mwiko na timu tishio ukatanda wa afrika mashariki ya pwani na visiwani kote Jku
Mechi itakuwa ngumu sana hasa ukiangalia ubora wa timu zote
Unaambiwa mechi ilivyo kubwa var ipo na marefa wanatoka misri mechi itacheza saa moja na nusu
Kutokana na ukubwa wa mechi wa bara la afrika na duniani unaambiwa rais wa shirikisho la mpira duniani atakuwepo tutulie bingwa wa mechi hii atakutana na bigwa wa ulaya