Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mwenye updates za interview ya tarehe nane duce, matokeo ya written na tarehe ya oral naomba kujuzwa tafadhali!
Tangu jana inasumbua website yao,inabidi niwaendee huko huko nipate feedback za uhakika
Sio hivyo, hiyo database unatakiwa uwe na mtandao wenye kasi kubwa....hiyo msg iko siku zote tu
hahahahahahahaha jamani hebu tulieni mliambiwa watatoa namba zenu za mitihani leo bna leo inaisha saa sita usiku,shida nini?ndo mana mnakosaga kazi kwasababu ya presha.
ukweli mkuu?Walitoa majina Jana kwenye site yao usiku mida ya saa 5 hivi. Watu wamepiga oral Leo asubuhi. Si unajua utumishi wazee wa kimyakimya
Walitoa majina Jana kwenye site yao usiku mida ya saa 5 hivi. Watu wamepiga oral Leo asubuhi. Si unajua utumishi wazee wa kimyakimya
Acha ukuda!naona unajipa U-dj kuscratch future za watu!usitanie maisha ya wenzio ati kisa weye hauna shida!