Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

Huo utaratibu umeanza lini?
Mnaombewa nini?
Maombi yenu hadi yafanyikie kanisani, sehemu ya ibada?

Siku mkijua mnachokitaka, kwanjia gani, kwa wakati gani na kwakiongozi gani mtakuwa wapinzani sahii lakni sahivi tunawaona kama upepo tu.
Wewee unaongea kama nani? Mjadala ni wa Polisi, wewe unajibu umekua Polisi? Acheni kujipa madaraka hewa
 
uliwai kumuona kavaa kijani kanisani? Leta evidence
Lakini pia yeye alikuwa na nyazifa gani?

Kijana haya unayoyaona yanatokea ninmatokeo ya ujinga na umaskini.
 
Tumechoka kelele kama maongezi yameshindikana tafuteni njia mbadala
 
Mkuu jielimishe juu ya dhehebu la katoliki, utaelewa ni nini kilitokea na ni kwa vipi na itakusaidia kujibu yaliyokuchanganya.
 
Kama kuna mipango ya kuziondoa kura za wakristo kwa samia.

Afuatilie haya mambo,asichulie poa atakapokuja kugutuka kura za maoni hazimbebi yeye hivyo ccm kumuweka pembeni.

Mama atumie zaidi uwezo wake kulinda staha yake kuliko kutegemea watu.
 
Ungeacha uongozi huo wa kanisa wajisemee siyo kuwalisha maneno huku ukiwa tayari umeegemea upande. Ushabiki wako wa kituo kwa Chadema tunaufahamu. Hatuamini blabla zako
 
Ungeacha uongozi huo wa kanisa wajisemee siyo kuwalisha maneno huku ukiwa tayari umeegemea upande. Ushabiki wako wa kituo kwa Chadema tunaufahamu. Hatuamini blabla zako
Wapuuzi kama nyie nashindwa hata kujua niwasaidieje! Huwa naishia kuwa-ignore tu
 
Mwenyewe unaona umejipindaaa!!
 
Ona hawa wapumbavu, Mimi naongea na Polisi sio CCM
Wewe ni mtu hatari sana kwa nchi. Umekuwa na mkakati wa kutaka kuingiza udini dhidi ya Rais Samia. Ni mkakati wa kijinga na umebuma tayari.
 
Wewe ni mtu hatari sana kwa nchi. Umekuwa na mkakati wa kutaka kuingiza udini dhidi ya Rais Samia. Ni mkakati wa kijinga na umebuma tayari.
Nikishaona wapuuzi kama nyie nikajaribu kukuelimisha Mara mbili na bado huelewi huwa sipotezi muda, nakuweka kwa ignore list tu. Nasubiri usome hii kwanza

 
Wapuuzi kama nyie nashindwa hata kujua niwasaidieje! Huwa naishia kuwa-ignore tu
Huna lolote wewe la kumsaidia mtanzania yeyote. Mwenyewe umeshindwa kujisaidia. Hoja zako ziko so low
 
Kamata kamata zimekuwa nyingi mno hadi kwenye nyumba za ibada. Taifa linaumwa kweli.Linahitaji maridhiano.
 
Wewe mwananchi utanufaika nini wakifanya mambo yao bila bughudha ?

-kwasasa kodi yangu inatumika vibaya sana ,wapinzani wasipokuwepo,wakiwa ccm tu,kutakuwa hakuna ukamataji wa wapinzani na kuwasafirisha km zaidi ya elfu 1 na kuwalipa per diem askari wanaowasindikiza.

-Kesi za kubumba za uhujumu uchumi zitakuwa hakuna hivyo kesi zitakuwa chache,kutakuwa hakuna haha ya serikali kuajiri majaji wengi na kuwalipa misharara minono,hivyo hivyo kwa magereza multiplier effect ,fedha za kuhudumia wahabusu zitapungua.
 
Hivi mapolisi ya Tanzania huwa yamebebelea nini kwenye vichwa, kuna ubongo kweli?
 

Hata sikuelewi
Nimekuuliza wapi uliona raisi kavaa kijani kanisani
Unaniletea habari za wajinga,

Ccm wakifanya upumbavu na nyie mnaiga upumbavu huo.

Nacho pinga ni siasa (haijalishi ni chama gani) ndani ya kanisa (bilakujali ni kanisa/zehebu gani).
 
CCM wanajua kuwa hawakubaliki na wananchi. Wamewaweka polisi standby kukamata yeyote anaeleta mwamko kwa wananchi ili wananchi waendelee kuishi kwa hofubili CCM iendelee kuwatawala kiulaini bila bugdha za nchi za nje zinazo wapa hela za misaada ya maendeleo waendelee kuzila bila kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…