Ukiacha wewe wako na mimi nitaacha wanguAcha ujinga basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiacha wewe wako na mimi nitaacha wanguAcha ujinga basi
Naona mnapapasana na kuchekeleaAisee aliyewaita nyumbu hawa jamaa hakukosea.
Nimekuuliza swali hapo juu badala ya kujibu swali unapiga porojo!WTF!!Duniani ukiwa na maarifa hutoangamia.
Hao wamekosa maarifa ndio maana wanaangamia kwenye mikono ya polisi.
Hiyo katiba mpya itaondoa vipi ujinga wa watanzania?
Imagine wanasiasa kulalamikia waumini walioko kanisani....Hawa watu wana agenda ya siri nadhani
Dola inamchinganisha rais na makanisa na wananchi, anatengenezewa uadui kuelekea 2015..Wakuu, nimepata hii updates ila kwa kweli hata kama Polisi wetu wanatumwa basi at least watumie hata akili. Why wanalazimisha kujenga chuki isiyomithilika kwenye jamii?? Was it necessary?
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi na baadhi ya Askari Wanyama pori wanaozea gerezani kwa kufanya mauwaji Kanisani. anyways wacha niwape updates
Updates
Makamanda, habari za muda huu. Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo.
Walioko lock up ni Katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, Katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20.
Baada ya kumuona OCD asubuhi ya leo, alitwambia kuwa wanatuhumiwa kwa kufanya vurugu kanisani na kwamba alipigiwa simu na viongozi wa kanisa.
Ilibidi tukauone uongozi wa kanisa Katoliki jimbo la Mwanza, tumeonana na msaidizi wa baba Askofu na akatuwezesha kuongea na askofu Mkuu Renatus Kwande.
Askofu Nkwande amesikitishwa sana na uongo wa jeshi la polisi na kuthibitisha kwamba hakukuwa na vurugu yoyote kwenye misa hiyo. Na alipokea matoleo ya Wana Chadema na kusali pamoja nao. Akawakaribisha wale chakula.
Wakati wanakwenda kunawa polisi wakavamia eneo hilo na kuanza kukamata kila aliyekuwa na sare za Chadema.
Awali asubuhi, walikwishakamata wanachama watano akiwemo mama Pambalu ambaye naye alikuwa anaigia kanisani.
Baba askofu katupa msaidizi wake tukaenda naye Kirumba na ameongea na OCD, sasa ocd kageuza kwa si kanisa lilimpigia simu bali ni waumini wawili mmojawapo anaitwa Gerlad Joseph. Msaidizi wa Askofu kawasiliana naye na sasa Askofu amemtuma katibu wake Padre Nyanda, tunaendelea kumsubiri hapa kirumba.
Msimamo wetu ni:
1. Wawaachie wote bila masharti ya dhamana.
2. Au baba Askofu akawadhamini waumini wake.
Wanzagi
Naona unaturudisha nyuma sasa 2015???Dola inamchinganisha rais na makanisa na wananchi, anatengenezewa uadui kuelekea 2015..
Umasikini unatusumbua sanaNimekuuliza swali hapo juu badala ya kujibu swali unapiga porojo!WTF!!
Wengi hawa ndani ya jeshi la polisi waliingia mle kwa sababu ya UREFU tu , hata kuandika wamejifunzia humohumo tu , kwa askari wa namna hii unategemea nini ?Hivi hili Jeshi lina viongozi primitive?
Hivi hili Jeshi lina viongozi primitive?
Kinachokusumbua wewe ni akili fupi.Hapo juu nimeshakuambia kuwa Nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria na wala siyo kwa mujibu wa matamanio yako wewe.Wao kuingia kanisani na Sare za chama kuna sheria wamevunja?Uapelekaje siasa kanisani (kuvaa sare za chama kanisani kweli???) Pumbavu kabisa.
Au ni waimba kwaya? Hao ndio wanavaa sare kanisani.
Bado umeandika kiharakati zaidi.
Walenda kanisani wamevaa sare?
Kuna wakati mtu unatafakari unashindwa kuelewa kama upinzani wetu ni sifuri kiasi hiki na bado ati una ndoto za kuongoza taifa.Tuleteeni video za hayo mahojiano ya POLICE na ya OCD ili na sisi tujue pa kusimama na watanzania wenzetu
Kwa maneno haya matupu ni ngumu kuamini sababu CHADEMA NI KIWANDA CHA KUTENGENEZA UONGO
La Zambia ni katiba nzuri aliyoitengeneza kaunda.Jeshi la Polisi Tanzania waache kutumiwa na CCM , hawaoni wenzao huko Zambia vyombo vyao vya dola vya ulinzi na usalama vilikataa kutumika vibaya na chama tawala kilichongolewa tarehe 12 August 2021.
Kanisani unaruhusiwa kuvaa nguo yeyote b*ya wewe...uwe mwanajeshi...ccm, kanzu nk. ili mradi iwe imekusitiri vizuriUmasikini unatusumbua sana
Tunapenda ushabiki bila kureason.
Unapelekaje siasa kanisani (kuvaa sare za chama kanisani kweli???) Pumbavu kabisa.
Au ni waimba kwaya? Hao ndio wanavaa sare kanisani.
Bro! Heshima ifate mkondo wake tu hamuna namna.
Kanisani kuna watu hawana vyama vyasiasa.
Wamo wa vyama vingine tofauti ,
Kanisani ni sehemu ya kupata tumaini kiroho kupitia ibada nasio habr za katiba.
INGIENI BARABARANI KUTAKA HIYO KATIBA NA SIO KANISANI.
JITOENI MHANGA KWA MASILAHI MAPANA YA TAIFA YA LEO NA KESHO YA WATOTO WENU. hapa Jf mnapoteza muda tu
Kanisani unaruhusiwa kuvaa nguo yeyote b*ya wewe...uwe mwanajeshi...ccm, kanzu nk. ili mradi iwe imekusitiri vizuri
Ndiyo maana nakuambia boya wewe...kanisani hata sare ya chama inaruhusiwa...umesikia alichosema askofu lakiniHujielewi
Wapi nimeandika kanisani unaenda uchi?
Hujui maana ya sare?
Sare ni utambulisho wa mtu kwa jambo fulani?
kanisa na siasa wapi na wapi?
Itawachukua muda sana kuwa na akili hamujui mnachokitaka mpompo tu kama mizimu ya wasakatonge.
Huwezi kuwapangia watu wavae nini kwa sababu haikufurahishi...Hujielewi
Wapi nimeandika kanisani unaenda uchi?
Hujui maana ya sare?
Sare ni utambulisho wa mtu kwa jambo fulani?
kanisa na siasa wapi na wapi?
Itawachukua muda sana kuwa na akili hamujui mnachokitaka mpompo tu kama mizimu ya wasakatonge.
Kwani kuna ubaya gani kanisa halina chama.Wamenda kama chama kufanyiwa maombi sivibaya.
Ndiyo maana nakuambia boya wewe...kanisani hata sare ya chama inaruhusiwa...umesikia alichosema askofu lakini