Updates Kutoka kwenye show kali ya LOVE, MELODIES and LIGHTS.

Yote hii ni kutolewa povu na EFM
Hakuna siku efm wameweka shoo na hawa jamaa wasiweke
EFM Leo wamejaza vibaya sana huko Mwembe yanga. Yaani funika mbovu kabisa
 

Sasa hapo ndipo RC Makonda na ACP Sirro wanatakiwa ' wakite ' Kambi kwani wanaweza kutoka na majina ya ' kutosha ' tu ya ' Watumiaji ' na ' Wasafirishaji ' wakuu wa ' Sembe ' inayolevya kuliko hayo yaliyobaki katika hizo phases zao 4,5,6 na 7.
 


Mchonvu Baba la baba So so fresh . Baba jonii nae ndani ya nyumba
 
Yaani hapo sijui ata wanapendea nini. Au ndo promo ya mawingu radio.

Yaani kama mkatoliki hayupo hiyo sio show. Watu kama roma wakifanya show atakama unaumwa unaona tu gafla unacheka na makofi juu ha ha
 
Huu uzi umepoa spid yake unazidiwa na ule wa 40 ya Nillan au ndo mambo ya weekend?
 
Tatizo la wasanii wetu wanafikiri kuimba live ni kubadilisha tone na melody ya wimbo na hicho ndio hukera kwenye show live za kibongo....Niliona Ditto anaimba wimbo wake wa moyo sukuma damu kwakweli ni utumbo mtupu.
Umeongea fact moja kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…