Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarini za wikiend wadau.
Kama mnavyojua tena leo ndio ule usiku mubashara usiku wa shoo kali ya kiaina yake na ya kipekee shoo ya karne. LOVE, MELODIES and LIGHTS
Kwa wale wa mjini mnaosikiliza hii redio ya Wafu aaah sory, i mean redio ya Watu clouds FM. Mtakuwa mnajua kuwa leo mkali Ben pol, jux na Baraka da prince watakuwa jukwaa moja wakisindikiza usiku huu wa kipekee kabisa.
Katika shoo hii ambayo kulikuwa na kiingilio mpaka milioni na zaidi lakini ticket ziliwahi kuisha sio mchezo kabisa.
Mwenye updates za huko tafadhali mambo yanavyoenda atuambie. Mambo yamenoga au hayajanoga? Maana clouds ni mabingwa wa kupiga promo halafu unakuja kukuta ni upuuzi tu. Kama ilivyokuwaga Fiesta.
Pia sipatii picha hawa akina Ben Pol maskini watakavyokuwa wamenyonywa kwenye malipo ukilinganisha na faida itakayokuwa imepatikana.
Picha za eneo la tukio kwa hisani ya clouds ni kama zifatazo. Jinsi mambo yatakavyokuwa kwenye maturubai hayo.
![]()
![]()
Huo ndio muonekano wa ndani mambo ya Lights hayo
![]()
![]()
Hii ndio Red Carpet ya kimataifa. According to wao..
SASA JAMANI ALIYEKO HUKO ATUPE UPDATES TAFADHALI...
UPDATES PLEASE..
![]()
Ameshafika tayari. Hiyo picha aliposti kuwa hatakosa leo.
Huyu mzee hivi ana umri gani?
dhambi afu wotee wazee.. beef zao kma za kityootoBabu yako kanichosha na hii Vita yake na mange.
Azam,continentalHii tv ipo ktk king'amuzi gani?mkoani hatuna raha.
King'amuzi cha Azam,continental,zukuHii tv ipo ktk king'amuzi gani?mkoani hatuna raha.
Umeongea fact moja kubwa sanaTatizo la wasanii wetu wanafikiri kuimba live ni kubadilisha tone na melody ya wimbo na hicho ndio hukera kwenye show live za kibongo....Niliona Ditto anaimba wimbo wake wa moyo sukuma damu kwakweli ni utumbo mtupu.
Wabongo mna visa, watu wsifanye yao wakifanya basi wamefanya kisa akina flani...Yote hii ni kutolewa povu na EFM
Hakuna siku efm wameweka shoo na hawa jamaa wasiweke
Mkuu sasahivi mshindani wa hawa mawingu media ni efm. Na jamaa wanapata moto sanaWabongo mna visa, watu wsifanye yao wakifanya basi wamefanya kisa akina flani...