Lawama zote nawapa mawakala wa kura. . .
Mnyika Ubungo, Mdee too close to call Kawe, Mbatia chali. Mrema vunjo. Mbowe Hai
Wapendwa wapenda mabadiliko chanya na maendeleo. Asanteni sana kwa msukumo wenu mnaotoa kwa tume itoe matokeo haraka. UKWELI NI ULE ULE; kijana wenu J.J MNYIKA ni mshindi. Lakini jambo linalochelewesha kuwapeni hii RAHA RASMI ni ukataratibu mbovu wa NEC unaotaka kwanza nakala za matokeo toka vituoni ziwe scanned na kuhifadhiwa ktk comp ndo kisha wajumlishe na kutoa matokeo. NEC haikuwa imejipanga vema ktk utaratibu huu maana awali walikuwa wanatumia comp &scanner 1 tu! jambo lilosababisha zoezi kwenda kwa kasi ya kobe. Baada ya kazi yenu nzuri ya kutoa msukumo nec imeongeza vifaa na imehafiki software mbadala (but safe) kutumika kujumlisha matokeo. Lkn zoezi kwa ujumla ni kubwa mno na si la msingi hata kidogo kuwa kikwazo kutoa matokeo. Imagine kuscan na kuhifadhi copies kama 1300! Alafu ndo muje kujumlisha na kutoa matokeo! NGUVU YENU ITASIKIKA NA ITATUSAIDIA KUIFANYA TUME kuruka utaratibu huu wa kidhalimu.

"nji hii" Mrema