Elections 2010 Updates kutoka Royola every 10 minutes

Lawama zote nawapa mawakala wa kura. . .

hawana kosa hawa, wamefanya kazi vizuri na ndo maana kura hazichakachuliki, kila kitu kiko mezani, basi tu ubishi wa chama
 
Jamani jamani jamani mie nipo MLANDIZI kwenye private car natokea Morogoro kuja kumipeni kampani,wacha waniue but mpaka kieleweke jamani jamani jamani
 
Msifanye kosa kuwaachia hata nukta moja. Hawa wezi lazima wabanwe mbavu zao sana
 
Nilidhani Mnyika ni mtu makini!!
Kwa nini wamekubali kuruhusu kuhesabu kura upya na huku mawakala wa ccm walishathibitisha matokeo? amgesubiri waende mahakamani!
siamini this is happening !!
 
Wapendwa wapenda mabadiliko chanya na maendeleo. Asanteni sana kwa msukumo wenu mnaotoa kwa tume itoe matokeo haraka. UKWELI NI ULE ULE; kijana wenu J.J MNYIKA ni mshindi. Lakini jambo linalochelewesha kuwapeni hii RAHA RASMI ni ukataratibu mbovu wa NEC unaotaka kwanza nakala za matokeo toka vituoni ziwe scanned na kuhifadhiwa ktk comp ndo kisha wajumlishe na kutoa matokeo. NEC haikuwa imejipanga vema ktk utaratibu huu maana awali walikuwa wanatumia comp &scanner 1 tu! jambo lilosababisha zoezi kwenda kwa kasi ya kobe. Baada ya kazi yenu nzuri ya kutoa msukumo nec imeongeza vifaa na imehafiki software mbadala (but safe) kutumika kujumlisha matokeo. Lkn zoezi kwa ujumla ni kubwa mno na si la msingi hata kidogo kuwa kikwazo kutoa matokeo. Imagine kuscan na kuhifadhi copies kama 1300! Alafu ndo muje kujumlisha na kutoa matokeo! NGUVU YENU ITASIKIKA NA ITATUSAIDIA KUIFANYA TUME kuruka utaratibu huu wa kidhalimu.
 
Mnyika Ubungo, Mdee too close to call Kawe, Mbatia chali. Mrema vunjo. Mbowe Hai
 
Asante sana mkuu kwa taarifa hizi za muhimu. Hawa jamaa ni wa kuwakaba koo maana hawaaminiki hata kidogo
 
kwenye vituo vingine matokeo yalipotanzwa wamefanya hivo au hii ni isolated case kwa ubungo? plus hiyo software mbadala ni kitu gani, si ms excel tu au?
 
Muda wa madiliko ukifika umefika tu!Hakuna cha scanner wala printer!
 
Ifahamike kuwa, ukiachilia CHADEMA, si ccm wala nec walikuwa wameisha jumlisha matokeo toka vituoni. Hivyo HAKUNA suala la KUHESABU UPYA bali KUJUMLISHA matokeo toka vituoni kwa kutumia nakala za mawakala wa vyama zilizosainiwa na mawakala wote. Tunawashukuru sana vijana wa CHADEMA, MNYIKA CAMPAIGN-2010, KITENGO CHA IT waliofanikisha zoezi la kujumlisha matokeo toka vituoni ilipofika jana saa 9 usiku. Hakika kwa Ubungo vijana mlijipanga haswaa.
 
Wapendwa wapenda mabadiliko chanya na maendeleo. Asanteni sana kwa msukumo wenu mnaotoa kwa tume itoe matokeo haraka. UKWELI NI ULE ULE; kijana wenu J.J MNYIKA ni mshindi. Lakini jambo linalochelewesha kuwapeni hii RAHA RASMI ni ukataratibu mbovu wa NEC unaotaka kwanza nakala za matokeo toka vituoni ziwe scanned na kuhifadhiwa ktk comp ndo kisha wajumlishe na kutoa matokeo. NEC haikuwa imejipanga vema ktk utaratibu huu maana awali walikuwa wanatumia comp &scanner 1 tu! jambo lilosababisha zoezi kwenda kwa kasi ya kobe. Baada ya kazi yenu nzuri ya kutoa msukumo nec imeongeza vifaa na imehafiki software mbadala (but safe) kutumika kujumlisha matokeo. Lkn zoezi kwa ujumla ni kubwa mno na si la msingi hata kidogo kuwa kikwazo kutoa matokeo. Imagine kuscan na kuhifadhi copies kama 1300! Alafu ndo muje kujumlisha na kutoa matokeo! NGUVU YENU ITASIKIKA NA ITATUSAIDIA KUIFANYA TUME kuruka utaratibu huu wa kidhalimu.

Hali ya watu ikoje? Still bado wapo wengi?
Na Mheshimiwa wetu alikesha jana, hali yake ikoje sasa?
 
Wapendwa wapenda mabadiliko chanya na maendeleo. Asanteni sana kwa msukumo wenu mnaotoa kwa tume itoe matokeo haraka. UKWELI NI ULE ULE; kijana wenu J.J MNYIKA ni mshindi. Lakini jambo linalochelewesha kuwapeni hii RAHA RASMI ni ukataratibu mbovu wa NEC unaotaka kwanza nakala za matokeo toka vituoni ziwe scanned na kuhifadhiwa ktk comp ndo kisha wajumlishe na kutoa matokeo. NEC haikuwa imejipanga vema ktk utaratibu huu maana awali walikuwa wanatumia comp &scanner 1 tu! jambo lilosababisha zoezi kwenda kwa kasi ya kobe. Baada ya kazi yenu nzuri ya kutoa msukumo nec imeongeza vifaa na imehafiki software mbadala (but safe) kutumika kujumlisha matokeo. Lkn zoezi kwa ujumla ni kubwa mno na si la msingi hata kidogo kuwa kikwazo kutoa matokeo. Imagine kuscan na kuhifadhi copies kama 1300! Alafu ndo muje kujumlisha na kutoa matokeo! NGUVU YENU ITASIKIKA NA ITATUSAIDIA KUIFANYA TUME kuruka utaratibu huu wa kidhalimu.

Taarifa yako imeenda shule!! Tuko pamoja!
 
SAFI SAAAAAAAAAAAAANA! Kazi uleule, hakuna KULEGEA HATA KIDOGO. NI HERI KULALA HAPO DADI KIELEWEKE. HAWA JAMAA SIYO WA KUWAPA HATA HATUA ROBO, SI WATU WAZURI. HIZO SOFT WARE HAKUNA KUZIAMINI KIURAHISI MAANA WANAWEZA KUWA NA NIA YA KUCHAKACHUA. RECOUNT BY ANY MEANS ISIRUHUSIWE HATA KAMA NI KWA KUFA MTU. MATOKEO HALALI NI YALE YA VITUONI, UKIONA WANAPRESS RECOUNT MAANA YAKE WANA MABOX MAPYA YAO YA SIRI. WATENGAZE MATOKEO, MWENYE KUTOKUBALIANA AENDE MAHAKAMANI NDO SHERIA YA UCHAGUZI, SIYO RECOUNT!!
 
mnyika jj kijana wa A 9 form four 1998,goooooooo jj mnyika
 
Asante mkuu kwa taarifa maana tunasubiri sana kujua mpambanaji JJ Mnyika mambo yake yamekwendaje huko Ubungo
 
Back
Top Bottom