Updates mbalimbali juu ya effects za Covid-19 michezoni (Ligi zaanza kufutwa)

Updates mbalimbali juu ya effects za Covid-19 michezoni (Ligi zaanza kufutwa)

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Jana ligi ya Belgium Belgium pro league /Jupiler wametangaza kuicancel ligi yao na kumpa ubingwa Club bruge aliekuwa anaongoza kwa tofauti ya point 15 huku clab ya KAA Gent wakipata nafasi ya kushiriki Uefa kama mshindi wa pili
Katika hali nyingine hakutakuwa na timu kushuka ila zitakuwepo mbili za kupanda hivyo mwakani kutakuwa na timu 18 nasio 16 kama ilvyozoeleka


Uamuzi huo umefikiwa baada ya kupigiwa kura 14 kati ya 16 za vilabu vya ligi hiyo



Stay tuned tutafunga ligi nyingi Sana'a
Tutapata mabingwa wakupigiwa kura sanaa
 
Bora iwe hivyo hata EPL ili Samatta wetu aje acheze msimu kamili mwakani, maana timu yae ulikuwa inapumulia mashine kushuka daraja
 
Gwambina wakikusikia!
Wanafanya kama Jupilar pro league zina panda mbili hamna kushuka mwakani tunapga timu 22


Alafu ligi inapigwa kama ya USA pande mbili mashariki na West watakao maliza top four kila zone wanaenda playoff ya kutafuta bingwa

Zone ya East Tz standing predict
Simba
Azam
Namungo
Coastal union
KMC
Mtibwa
Polis Tz
Ndanda
Yanga
Ruvu shooting
Jkt Tz


West Tz zone standings
Tz prison
Lipuli
Singida
Kagera
Alience
Gwambina
Geita Gold
Biashara
Mbao
Mbeya city
Mwadui



Kwa hiyo Timu ya wanaanchi watacheza regulations playoffs
 
Back
Top Bottom