mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Jana ligi ya Belgium Belgium pro league /Jupiler wametangaza kuicancel ligi yao na kumpa ubingwa Club bruge aliekuwa anaongoza kwa tofauti ya point 15 huku clab ya KAA Gent wakipata nafasi ya kushiriki Uefa kama mshindi wa pili
Katika hali nyingine hakutakuwa na timu kushuka ila zitakuwepo mbili za kupanda hivyo mwakani kutakuwa na timu 18 nasio 16 kama ilvyozoeleka
Uamuzi huo umefikiwa baada ya kupigiwa kura 14 kati ya 16 za vilabu vya ligi hiyo
Stay tuned tutafunga ligi nyingi Sana'a
Tutapata mabingwa wakupigiwa kura sanaa