Asante mkuu
Bila shaka picha zinatosha kwa sasa, most updates; stay tuned...........
View attachment 108816
View attachment 108842View attachment 108843View attachment 108844View attachment 108845View attachment 108846
good GOODER GOODEST!
hizi chopa wangeuza wamuongeze slaa hela atoe mahali.
Kumbe hata ccm inavyodai ilikusomesha ukaelewa lugha wanadanganya.hizi chopa wangeuza wamuongeze slaa hela atoe mahali.
Hzi picha za lini? Mbona mimi nimewakuta hapa Mafinga mda wa saa tisa na dk 50? Tena watu hawapo kabisa. Wana kandege kao kana Rangi ya CDM KWENYE LANGO LA KUINGILIA?
Kabla yahapo wewe ulikuwa wapi? na baada ya hapo umeelekea wapi na kwa usafirigani?
Usafiri wa chopa ni tofauti na Bajaji, kama unasafiri kwa bajaji wala usishangae mkuu wangu kwa chopa loh!
Mda si mrefu katoa stori ya Shigela akiwa Dodoma au alikuwa na usafiri wa ungo?