Updates: Mbowe na Lissu watikisa Njombe

Updates: Mbowe na Lissu watikisa Njombe

h.imani

Senior Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
189
Reaction score
94
Bila shaka picha zinatosha kwa sasa, most updates; stay tuned...........

View attachment NJOMBE.zip

1150166_689549691059824_1066371773_n.jpgView attachment 1088431237636_689549651059828_791477536_n.jpg1185092_689549474393179_148026469_n.jpg1185082_689549527726507_790606174_n.jpg
 
vipi mkulu suruari inamshuka ......? mbona mkono uan taka kumuokoa .
 
Hzi picha za lini? Mbona mimi nimewakuta hapa Mafinga mda wa saa tisa na dk 50? Tena watu hawapo kabisa. Wana kandege kao kana Rangi ya CDM KWENYE LANGO LA KUINGILIA?
 
hizi chopa wangeuza wamuongeze slaa hela atoe mahali.

Alafu cost cutting wafanye vip, misafara ya V8 au mashanging?

kwanza high risk pili usumbufu kwa policcm

bora kupita angani yanini kusumbuana na polisisisiem!

miaka 50 uhuru chin ya ccm barabara ovyo kabisa.
 
Hzi picha za lini? Mbona mimi nimewakuta hapa Mafinga mda wa saa tisa na dk 50? Tena watu hawapo kabisa. Wana kandege kao kana Rangi ya CDM KWENYE LANGO LA KUINGILIA?

Kabla yahapo wewe ulikuwa wapi? na baada ya hapo umeelekea wapi na kwa usafirigani?

Usafiri wa chopa ni tofauti na Bajaji, kama unasafiri kwa bajaji wala usishangae mkuu wangu kwa chopa loh!
 
Mda si mrefu katoa stori ya Shigela akiwa Dodoma au alikuwa na usafiri wa ungo?

Mkuu hiyo nini? mi nazifahamu chop, sasa hicho nini au ccm kunataaluma nyingine ya usafiri hebu fafanua..........
 
Back
Top Bottom