Matokeo ya kura za maoni jimbo kuu la kibakwe mpaka sasa yamepatikana katika kata saba , zote Eng. Mwikola amemgalagaza Mh Simbachawene kwa kura nyingi mno, Eng ameshinda kwa fujo sehemu zote ambapo matokeo yametangazwa mfano WOTTA, WANGI, KIBAKWE ZOTE MBILI CENTER NA JUU, WINZA
Mpaka mshindi ni ENG Mwikola akifuata kwa mbali Simbachawene,
Sarakasi zainaanza, madokta wawetayari kupokea waliopasuliwa, hiyo ndio ccm bila ya rushwa na wizi haichaguliki.
Hatimae timeshinda uzandimu mwakyembe awashinda wagombea wenzake kwa kishindoo kikubwaaaaaa tinamshukuru munguuuuuuu
c.c Mkuu MahesabuSingida Magharibi, Kingu kashinda kwa mbali