Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote


wakimkata Patel UKAWA tunachukua jimbo kiulaini
 
Ningekuwa mwana ccm ningepatwa na hofu sana wafuasi kindakindaki wa EL kubaki ccm na kuwa kwenye vyombo nyeti vya maamuzi.

Mfano Nchimbi, Kimbisa et al. Kama unajua siasa utakuwa umenielewa

Furahia Bashe kushinda kura za maoni kwa sasa


hili neno hili
 
Mkuu tupe Ukonga,Instagram kila mgombea anasema ameshinda hapo Ukonga,tupe uhalisia!!!
Hata kwa yeyote anaejua Hilo jimbo,Mengine sijasikia Utata!!ok na kule kwa kabaka Gaudensia na Matiko Easther sijui nani kashinda
Yeyote mwenye taarifa

Jimbo la Rufiji jamani?
 
Duuuh! UKAWA inabidi wajipange kwelikweli maana kama mambo yenyewe ndio haya uchaguzi mkuu itakuwaje?
Hao waliokamata hayo maboks ni akina nani?

Ni uongozi wa ccm mkoa wakishirikiana na polisi.
 
Mama Tibaijuka walimvua mpaka ujumbe wa NEC kwa sakata la escrow.. Naona karudishwa na wananchi.. Ndio mjue watanzania na wapiga kura ni watu wa aina gani

Wajinga sana waliomchagua.
 

Ww usifuate mambo yako fuata ya lowasa
 
Kwa upande wangu sijui mnalichukuliaje hili lakini kwangu mimi nionavyo watu HAO wa LOWASA kubaki CCM nalichukulia kama anguko la SERIKALI ijayo kwani wabunge hao masalia (CCM) hawatakua na umoja kama Uliokuwepo hapo awali WABUNGE hao hoja ya serikali ikija na wakaona wanaweza kuungana na wale wa upande wa pili alipo EDDO hoja za serikali zitakwama. Na mambo mengi ya serikali yanaweza kuwa hayasogei.
 
Hawa wapiga kura za maoni wangezingatia pia uadilifu wa mgombea,maana ndugai anaweza kupiga hata wapiga kura wake,hana uvumilivu,tunasubiri kamati kuu kumwengua vinginevyo ukawa chukua jimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…