Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Vijijini, na atashinda na kuteuliwa kuwa Waziri wa Nishati aendelee kutupelekea umeme vijijini

Atawakomesha wazee wa vitaru make sahivi kama nawaona vile wanaanza kujiharishia ..subirini kipoe kwanza msiwe na haraka ili mchezo uishe
 
Huko Nkenge naona kura zote ni kama 30,000 hivi.. Ni kwamba jimbo lote limepiga kura au mi ndio sielewi? Kama wote wamepiga kura je kuna umuhimu wa kufanya uchaguzi tena?
 
Mpaka muda huu sijapata matokeo ya Kura za maoni juu ya mama Anna Tibaijuka ila nasikia anapumulia mashine ,mwenzake Prof muhongo amepita kwa kishindo na bila shaka atarudi bungeni please please itakuwa ni matusi kama atarudi kwa kupitia jimbo,
Kwani kajipitisha???Kapita kwa kishindo maana yake watu wake wanamkubali, NAMI namkubali sana Prof. , bibi yangu siku hizi kijijini anatumia umeme.
 
Kibajaji ndo habari ya kwao teh teh teh hata kibajaji.??????
 
Taarifa rasmi kutoka jimbo la ukonga ni kuwa yule fisadi kijana na kigeugeu Jeri silaa ameshindwa vibaya katika kura za maoni....inasemekana amechakazwa vibaya na jamaa anaeitwa Patel...inasemakana huyu Patel amekua akisaidia sana vijana waendesha bodaboda na vikundi vya akina mama huko ukonga wakati Jeri silaa akiwa buy Ku post picha zake na viongozi wakuu huko Instagram na Facebook.....mwaka huu lazima wanyooke
 
Wakuu naomba kujuzwa lile jimbo mropokaji kule Mtama kaangukia pua ama vp mwenye nyepesi..
 
Jaman jimbo la karagwe nan kapta kura za maon
 
Ndugai pamoja na kumcharaza mwenzie kipigo cha mbwa mwizi bado kapeta? Kumbe CCM iko "makini" sana, kuna namna mbili za kushinda nazo ni kutoa rushwa au kutembeza kipigo kama huyo Ndugai au Wassira.
 
ukonga mbona tunasukia Jerry Slaa Kashinda?!
 
Kwa kumpokea Lowassa na kumpitisha bila kupingwa tena kugombea urais hamna uhalali wa kuhoji juu ya Muhongo wala Tibaijuka.

Nyie mje na ngonjera zingine tu ya ufisadi mmeshaifubaza wenyewe mtakuja popolewa majukwaani bure.

Watu wote siyo vilaza kama mlivyo.
 
Back
Top Bottom