Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KURA ZA MAONI CCM
1. Mwigulu - Iramba
2. Nape - Mtama
3. Mwakasaka - Tabora Mjini
4. Mama Sitta - Urambo
5. Kadutu - Ulyankulu
6. Bashe - Nzega
7. Ngeleja - Sengerema
8. Seif - Igunga ktk jimbo jipya.
9. Masaburi - Ubungo
10. Patel - Ukonga
11. Prof Kamala - Nkenge, Misenyi
12. Kagasheki -
13. Lukuvi - Isimani
14. January - Bumbuli
15. Muhongo - Musoma vijijini
16. Ndugai - Kongwa
17. Chumi - Mafinga
18. Kigola - Mufindi kusini
19. Mgimwa - Mufindi kaskazini
20. Filikunjombe - Ludewa
21. Mgimwa - Kalenga...
22. Lusinde - Mtera
23. Imani Moshi - Kaliua
24.Mwakasaka -Tabora mjini
25.Fenala Mkangara -Kibamba
26.Mapunda-Mbinga mjini
27.Masele -Kahama
28.Antony Mavunde-Dodoma hizi ndio data
nilizopata
Wale watuhumiwa 4 wa escrow Chenge, Muhongo, Ngeleja na Tibaijuka wameshinda kwa kishindo kura za maoni kule CCM. Wanaccm waliopiga kura za maoni wamedharau adhabu walizopewa wagombea hao na uongozi wa juu wa chama. Lakini ukweli unabaki palepale hawa ni WATUHUMIWA tu kama alivyo Nape pale Takukuru Lindi!
waziri kivuliUwaziri wanaupataje mkuu? Wakat watakua wapinzan rasmi
hizo idadi ya kura za maoni CCM hazina uhalisia
Huko tarime bwana nyambari kashikwa na karatasi zilizotikiwa kura 2000 cha ajabu nini nyie kura zenu za kubuni siyo halisiHizi akili za pro-ufisadi ni za mgando sana. Kama chadema katiks kura za maoni mshindi anashinda kwa kura 56 na waliobaki chini ya hapo. Wakati ccm mshindi anashinda kwa kura 6000 na wansomfuatia ~5000, ~4000 nk. Hivi nani mwenye wanachama wengi hapo?
tibaijuka hadi account number ambayo hela iliingia tunaijua ,nitajia akaunti number ya lowassa hela za richmond zilipoingia,ushaambiwa richmond ni kazi ya mikono ya mkuu,subiri kwenye kampeni kila kitu kitawekwa waziUkichaa mwingine wa baraza la vichaa chadema (Bavicha). Unawaona hao tu. Lowassa vipi?
Kamanda siasa za Tanzania ndivyo zilivyo hata huko Chadema huoni fisadi mnavyomshangilia.Natabiri (japo sio Sheikh Yahaya) kuwa huu mchakato wa ubunge na udiwani utaigawa zaidi ccm hata zaidi ya mchakato wa urais.
Hebu fikiria mwenyekiti wa ccm mwenyewe JK alivyo declare pale Diamond Jubilee kuwa Prof. Tibaijuka 'amekosa maadili' na 'wakamuomba awapishe' lakini wanachama wamemrudisha.
Na Chenge Andrew naye karudishwa na wanachama.
Sasa katika ukweli kama huu uongozi wa chama na hasa mwenyekiti wanapaswa kuonyesha kuwa hayo majina matano waliyopitisha Dodoma yalikuwa masafi kuzidi yaliyoachwa (walioshiriki mkutano wengi wameshasema kuwa yalikuwa mfukoni mwa mwenyekiti).
Na ni mwenyekiti huyo huyo aliyemsifia sana EL wakati wa kufunga bunge hata zaidi ya waziri mkuu aliyepo!