Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna watu alikuwa anawategemea sana Lowasa katika mikakati yake basi ni pamoja na huyu Hussein Bashe. Bashe ni miongoni mwa makada wa CCM ambao walitajwa kuhamia CHADEMA kumfuata bosi wao Lowasa. Pia alikuwepo Mussa Zungu, Kangi Lugola, Christopher Ole Sendeka nk. Ushindi wa makada hawa hakika ni pigo kubwa sana kwa Lowasa. Sidhani kama kuna dalili za yale Mafuriko ya makada wa CCM kukimbilia CHADEMA. Mpaka sasa, katika watu wake wa karibu, ni mkewe tu ndiye aliyeenda CHADEMA.
Na bado
Hizi ni habari njema, yale mafisadi ktk mfumo yabaki huko huko!Kama kuna watu alikuwa anawategemea sana Lowasa katika mikakati yake basi ni pamoja na huyu Hussein Bashe. Bashe ni miongoni mwa makada wa CCM ambao walitajwa kuhamia CHADEMA kumfuata bosi wao Lowasa. Pia alikuwepo Mussa Zungu, Kangi Lugola, Christopher Ole Sendeka nk. Ushindi wa makada hawa hakika ni pigo kubwa sana kwa Lowasa. Sidhani kama kuna dalili za yale Mafuriko ya makada wa CCM kukimbilia CHADEMA. Mpaka sasa, katika watu wake wa karibu, ni mkewe tu ndiye aliyeenda CHADEMA.
Na bado
Ningekuwa mwana ccm ningepatwa na hofu sana wafuasi kindakindaki wa EL kubaki ccm na kuwa kwenye vyombo nyeti vya maamuzi.
Mfano Nchimbi, Kimbisa et al. Kama unajua siasa utakuwa umenielewa
Furahia Bashe kushinda kura za maoni kwa sasa
Lowasa ana hela lakini watu hana.Nilishangaa MBowe aliposema eti lowasa atawaleta wanaCCM mamilioni kuhamia CHADEMA.Lowasa ana watu CCM kawatoa wapi? Akina mbowe jiandaeni hao hao mlionao ndio atakaowatumia yeye kaja mweupe hana wafuasi huyo ana wapenzi tu wa muda kutegemea na hela alizowamwagia.Mtu mwenye watu CHADEMA ni SLAA SIO MBOWE na CUF ni SEIF sio Lipumba.
Lowasa mliyemchukua CHADEMA mmechukua mtu asiyekuwa na watu huyo alikuwa anategemea wana CCM wenye watu wampe na wamsaidie kampeni.Mbowe sababu hana watu hawezi mbeba Lowasa.Ni wajanja wawili wasio na watu wanaoviziana Mbowe akidhani Lowasa ana watu na Lowasa akivizia na kudhani mbowe ana watu.Wamekutana wajanja wa mjini wawili wasiokuwa na watu.CHADEMA itagaragazwa safari hii uchaguzi mkuu hadi basi.Matokeo ya safari yatakuwa ya aibu kwa CHADEMA mark my words.
Hizi akili za pro-ufisadi ni za mgando sana. Kama chadema katiks kura za maoni mshindi anashinda kwa kura 56 na waliobaki chini ya hapo. Wakati ccm mshindi anashinda kwa kura 6000 na wansomfuatia ~5000, ~4000 nk. Hivi nani mwenye wanachama wengi hapo?
Kama kuna watu alikuwa anawategemea sana Lowasa katika mikakati yake basi ni pamoja na huyu Hussein Bashe. Bashe ni miongoni mwa makada wa CCM ambao walitajwa kuhamia CHADEMA kumfuata bosi wao Lowasa. Pia alikuwepo Mussa Zungu, Kangi Lugola, Christopher Ole Sendeka nk. Ushindi wa makada hawa hakika ni pigo kubwa sana kwa Lowasa. Sidhani kama kuna dalili za yale Mafuriko ya makada wa CCM kukimbilia CHADEMA. Mpaka sasa, katika watu wake wa karibu, ni mkewe tu ndiye aliyeenda CHADEMA.
Na bado
Lowasa ataendelea kuwa hatari kwa CCM daima.Tena hao waliobaki CCM ndo hatari zaidi.Jamaa atakuwa na mtandao ndani na nje ya CCM na CDM
Wataopiga kura ni milioni 6 ya wote waliojiandikisha, wengine walitaka vitambulisho tuu, pia kuna kura za kuharibika hapo! Hivyo kama wana milioni 3 tayari do the maths!Napata wasiwasi na uhai wa ccm, ukijumlisha kura za maoni za ccm zilizopigwa na wanachama wote hazizidi 3m kwa maana nyingine wanachama active wa ccm hawazidi 3m ambao pangapangua lazima wachague ccm. Kwa maana nyingine JP anakazi ya ziada kuwashawishi wasiokuwa wapenzi wa ccm wamchague.
Magufuli anakazi ya kushawishi wapiga kura 18m amabao si wapenzi hai wa ccm jambo ambalo sidhani kama ni rahisi hivyo. Kwa upande mwingine nashindwa kuelewa wanaccm waliomdhamini Lowasa pwani walikuwa 270,000. mbona waliopiga kura za maoni hawafiki hata elfu hamsini? Napata shaka sana na takwimu za nchi hii.