Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimefurahi sana hovyo mno huyo mama yuko tiyari watu wafe lakin ccm iendelee kutawala, watu wa namna hii ni hatari sana
Kamala amerudi ajirekebishe sasa, kufanya kosa sio kosa ila kurudia kosa ndo mbaya zaidi
Atarudi thru viti maalumu
Makongoro Mahanga, Mbunge wa Segerea na Naibu Waziri wa Kudumu, naye Amekatwa na WanaCCM wenzake.
Kura wamempa Mwanamama...period.
Kama kuna watu alikuwa anawategemea sana Lowasa katika mikakati yake basi ni pamoja na huyu Hussein Bashe. Bashe ni miongoni mwa makada wa CCM ambao walitajwa kuhamia CHADEMA kumfuata bosi wao Lowasa. Pia alikuwepo Mussa Zungu, Kangi Lugola, Christopher Ole Sendeka nk. Ushindi wa makada hawa hakika ni pigo kubwa sana kwa Lowasa. Sidhani kama kuna dalili za yale Mafuriko ya makada wa CCM kukimbilia CHADEMA. Mpaka sasa, katika watu wake wa karibu, ni mkewe tu ndiye aliyeenda CHADEMA.
Na bado