Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Yani eti kalikua kanawatetea wezi wa ESCROW yani nilikashangaa
 
Huu ni uongo wa kitoto saana walioandikishwa iringa mjini kwa maana ya manispaa ya iringa kwenye bvr ni 105662 na jumla ya wapiga kura wa ccm ulioainisha ni 145637
 
Dodoma mjini kapenya Mavunde, yule mzee wakupiga makofi na kuuchapa usingizi Dr. Malole kapigwa chini
 
Makongoro Mahanga, Mbunge wa Segerea na Naibu Waziri wa Kudumu, naye Amekatwa na WanaCCM wenzake.

Kura wamempa Mwanamama...period.
 
Wanaopita ccm wasione wameukwaa ubunge tunawasubiri tuwachinje,na hatutoangalia sura kamweee tutachoangalia ni rangi kama ni kijani au njano imekula kwao
 
Hizi akili za pro-ufisadi ni za mgando sana. Kama chadema katiks kura za maoni mshindi anashinda kwa kura 56 na waliobaki chini ya hapo. Wakati ccm mshindi anashinda kwa kura 6000 na wansomfuatia ~5000, ~4000 nk. Hivi nani mwenye wanachama wengi hapo?
 
Bora maana alikuwa na maneno ya dharau sana pamoja na kuwa na sura ya mjomba wake na mwili wa bibi mzaa bubu yake
 
Kama kuna watu alikuwa anawategemea sana Lowasa katika mikakati yake basi ni pamoja na huyu Hussein Bashe. Bashe ni miongoni mwa makada wa CCM ambao walitajwa kuhamia CHADEMA kumfuata bosi wao Lowasa. Pia alikuwepo Mussa Zungu, Kangi Lugola, Christopher Ole Sendeka nk. Ushindi wa makada hawa hakika ni pigo kubwa sana kwa Lowasa. Sidhani kama kuna dalili za yale Mafuriko ya makada wa CCM kukimbilia CHADEMA. Mpaka sasa, katika watu wake wa karibu, ni mkewe tu ndiye aliyeenda CHADEMA.

Na bado
 
Makongoro Mahanga, Mbunge wa Segerea na Naibu Waziri wa Kudumu, naye Amekatwa na WanaCCM wenzake.

Kura wamempa Mwanamama...period.

Huyo mmama amegawa sana hela..Mtaani jana ilikuwa ni sherehe
 
Mzee si ameshawaachia chama mbona mnafuatafuata bado? Nyie mmekuwa mkia wake? Naona hamkutegemea alichokifanya. Tulieni kukijenga chama chenu cha kifamilia ya bagamoyo
 
Kama kuna watu alikuwa anawategemea sana Lowasa katika mikakati yake basi ni pamoja na huyu Hussein Bashe. Bashe ni miongoni mwa makada wa CCM ambao walitajwa kuhamia CHADEMA kumfuata bosi wao Lowasa. Pia alikuwepo Mussa Zungu, Kangi Lugola, Christopher Ole Sendeka nk. Ushindi wa makada hawa hakika ni pigo kubwa sana kwa Lowasa. Sidhani kama kuna dalili za yale Mafuriko ya makada wa CCM kukimbilia CHADEMA. Mpaka sasa, katika watu wake wa karibu, ni mkewe tu ndiye aliyeenda CHADEMA.

Na bado

Ua hot kweli
 
VP kwa ninja!swahiba wa Lowasa Mr.Kangi hali ikoje?kwan wavaa madila walisema watamtoa magego!
 
Yumo kwenye tatu bora...with CCM anything can happen!
 
Back
Top Bottom