Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fatilia yaliyowakuta wapinzani wake waliopita, walikufa mazingira ya kutatanisha kabla ya kura ya maoni..
mh kibajaji amepitaje?
Lowasa anangoma hafai
Mkuu tupe Ukonga,Instagram kila mgombea anasema ameshinda hapo Ukonga,tupe uhalisia!!!
Hata kwa yeyote anaejua Hilo jimbo,Mengine sijasikia Utata!!ok na kule kwa kabaka Gaudensia na Matiko Easther sijui nani kashinda
Yeyote mwenye taarifa
Mhongo ni Musoma Mjini au Vijijini
Jimbo la Masasi Rashid Mohamed Chuachua, Jimbo la Ndanda Mariamu R. Kasembe. Jimbo la,Lulindi Jarome Bwanausi.
Mbona hushangai el kuutaka urais
nifah uchaguzi wa tarime umehairishwa kwasababu yamekamatwa masanduku yenye kura zaidi ya 6000 ambapo kura hizo zimewekwa alama ya tick kwa nyambari na waziri Kabaka.Kwani ilikuwaje mkuu? Hebu dadavua vizuri hilo bao la mkono lilikuwaje (kama ni hongo au wizi wa kura).