Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kamwe ccm hawawezi kumpitisha Bashe kuwania Ubunge, Kama walikata jina lake Lowassa akiwa bado ccm, Watashindwaje kukata hivi sasa alivyohamia Cdm?
Bashe Safari yake Bungeni inaishia Kamati kuu ccm, Kama anataka Ubunge akogombee Somalia,!
BACK TANGANYIKA
Mkuuu waaachie wenye jimbo waamue mgombea wao.kupiga mtu ndo asipite ?
Kinondoni na MOSHI mjini?
hii Kali AiseeHuu ni uongo wa kitoto saana walioandikishwa iringa mjini kwa maana ya manispaa ya iringa kwenye bvr ni 105662 na jumla ya wapiga kura wa ccm ulioainisha ni 145637
Kuna vkao vya chama vinakuja ndio waamuzi wa mwisho
Lowasa anangoma hafai
Moshi mjini mosha
akaendeleze harakati simba
Hawa wapiga kura za maoni wangezingatia pia uadilifu wa mgombea,maana ndugai anaweza kupiga hata wapiga kura wake,hana uvumilivu,tunasubiri kamati kuu kumwengua vinginevyo ukawa chukua jimbo