Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Unjua unaweza pia ukala PESA lkin ukaish na kuamini kweli n ukatumia haki yako kupiga kura kufanya maamuz sahihi,Tatizo n pale MTU unapokubali kununulika na kuweka akili zako mfko n mawazo yako just kwa maslah ya njaa yako ya siku moja
 
Nilikuwa Iringa wiki zima nimeondoka jana. Uchaguzi ungefanyika jana Msigwa angeshinda kwa zaidi ya 70% sasa sijui kwa miezi na siku zilizobakia na kampeni zitakazofanyika zinaweza kuathiri kiasi gani. Kwa ujumla kumwondoa Msigwa ni vigumu sana almost impossible.
 
Maccm ya iringa mjini inbidi yamshkuru sana Msigwa maan Ushindi wake uliwapandisha hadhi na kuwafanya wapate vipesa kidgo maan walikuwa hawalali kama wachawi vile.wanachi waliamua na wataamua tena October
 
BabaKo October siyo mbali usije kimbia tu. Maana CCM wamejipanga vilivyo tutakuja kumbushana. Msigwa hana chake tena amalizie Tu HeLa zake kuwapa Boda Boda na wavuta bangi wakajaze uwanja Wa mwebe togwa
 
Last edited by a moderator:
Tunjitmbua kka na usitutusi sana Msigwa huwa hwafati watu kuja kuwajaza mikutanoni wal htumii watot Wa shule za msng Hpa hlmashaur.
 
Dogo mapepe! hajakomaa bado! uwaziri aliukwaa kwa sababu system ipo weak otherwise. . . .amalizie mwenyewe!
 
Goodluck Ole Medeye Nae Ni Mkewe? James Lembeli Na Esta Bulaya Hao Wote Ni Wake Zake Lowasa? Hebu Ficha Ujinga Wako.
Uwe unasoma vizuri na kuelewa. Amesema kati ya watu wake wa karibu. Hao uliowataja walikuwa karibu na Lowasa?
 
Hongera Wana Nkenge kwa kumkata huyu mama, maana kiburi kilikuwa kimempanda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…