Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MapambanoDaima ww ni CHADEMA na sijui kwanini unamchukia Mwigulu pambaneni naye kwenye Ballot box Oktoba 25 /2015Si lalamiki ila naeleza ukweli kilichotokea na asiwaaminishe watu kuwa ameshinda na wanairamba wanamtaka ukweli ndio huo na hawamtaki hata kidogo ndo sababu anatumia mbinu ovu
MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA IRAMBA,KILIMBA,JAIRO NA AMON WAAMBULIA PATUPU.MWIGULU ASHINDA KWA ASILIMIA 95.
MAtokeo yapo kama Ifuatavyo.
1.KATA YA MGONGO
Mwigulu 1510
2.KATA YA TULYA
Mwigulu 907
3.KATA YA MALUGA
Mwigulu 1026
4.KATA YA MTEKENTE
Mwigulu 1105
5.KATA YA NEW KIOMBOI
Mwigulu 919
6.KATA YA OLD KIOMBOI
Mwigulu 643
7.KATA YA MTOA
Mwigulu 3635
8.KATA YA ULEMO
Mwigulu 1059
9.KATA YA KYENGEGE
Mwigulu 1668
10.KATA YA MKULU
Mwigulu 659
11.KATA YA KINAPANDA
Mwigulu 2069
12.KATA YA NTWIKE
Mwigulu 1072
13.KATA YA NDAGO
Mwigulu 1003
14.KATA YA NDULUNGU
Mwigulu 557
15.KATA YA KISIRIRI
Mwigulu 1597
16.KATA YA KASELYA
Mwigulu 1613
17.KATA YA KIDARU
Mwigulu 1590
18.KATA YA URUGHU
Mwigulu 841
19.KATA YA MBELEKESE
Mwigulu 1105
20.KATA YA SHELUI
KWA KURA ZA MAONI NDANI YA CCM kwenye ngazi ya UBUNGE inasemekana Mwigulu Nchemba kaongoza kwa kupata asilimia 96%
Ulitaka Ukawa washiriki uchaguzi wenu we vipi?Dah
Kweli CCM chama kubwa
Ukawa kama hawapo vile
Unakumbuka vizuri wewe ama umezinduka? unakumbuka yaliyofanywa na Lowassa kwa mgombea mwenzie Kalokola kule Tanga? basi yule mzee analaani maka leo na laana itamfata Lowassa
Vipi Maswa wakuu??
Dah
Kweli CCM chama kubwa
Ukawa kama hawapo vile
CHADEMS 2015 wakabidhi jimbo iringa mjini.
CCM WANACHUKUWA KIULAINII . CCM OYEEEE
Kama hamujui siasa ni bora musi changie chochote . Maana nitabishana na watu amabo hata mwetekiti wao wa mtaa hawamjui so its better to wait untill october alafu muone msigwa akirudi kuhubiria kanisani