Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Nataka kutuma post apa jukwaan lakin sielew wap pa kuinglia au haiwezekn
 
Katika hali isiyo ya kawaida wanaCCM jimbo la Lushoto wameamua kujaribu ujinga kwa kumchagua mgombe wa darasa la saba kuwakilisha katika uchaguzi mkuu 2015. katika chama hicho kilibahatika kupata magombea wenye Elimu ya juu sana na ya hali ya juu lakini wanaCCM wakaamua kuchukua maamuzi ya kumpitisha mgombea wa darasa la saba na kuwapotezea wasomi wote majanga. walipo ulizwa kwa nini wameamua kumpitisha mtu wa darasa la wengi wakadai eti aaaaah! bwana bora tumpitishe mjinga mwenzetu kwa sababu hao walisoma hawana msaada wowote.
A%20S%20angry.gif
A%20S%20angry.gif
A%20S%20angry.gif
A%20S%20angry.gif
A%20S%20angry.gif
A%20S%20angry.gif
A%20S%20angry.gif
 
MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA IRAMBA,KILIMBA,JAIRO NA AMON WAAMBULIA PATUPU.MWIGULU ASHINDA KWA ASILIMIA 95.
MAtokeo yapo kama Ifuatavyo.

1.KATA YA MGONGO
Mwigulu 1510
Jairo 37
Kilimba 70
Amon 17

2.KATA YA TULYA
Mwigulu 907
Jairo 99
Kilimba 100
Amon 4

3.KATA YA MALUGA
Mwigulu 1026
Jairo 4
Kilimba 8
Amon 2

4.KATA YA MTEKENTE
Mwigulu 1105
Jairo 57
Kilimba 119
Amon 13

5.KATA YA NEW KIOMBOI
Mwigulu 919
Jairo 119
Kilimba 62
Amon 2

6.KATA YA OLD KIOMBOI
Mwigulu 643
Jairo 725
Kilimba 93
Amon 5

7.KATA YA MTOA
Mwigulu 3635
Jairo 351
Kilimba 352
Amon 84

8.KATA YA ULEMO
Mwigulu 1059
Jairo 41
Kilimba 45
Amon 28

9.KATA YA KYENGEGE
Mwigulu 1668
Jairo 46
Kilimba 9
Amon 6

10.KATA YA MKULU
Mwigulu 659
Jairo 17
Kilimba 26
Amon 8

11.KATA YA KINAPANDA
Mwigulu 2069
Jairo 160
Kilimba 107
Amon 5

12.KATA YA NTWIKE
Mwigulu 1072
Jairo 42
Kilimba 49
Amon 7

13.KATA YA NDAGO
Mwigulu 1003
Jairo 25
Kilimba 35
Amon 3

14.KATA YA NDULUNGU
Mwigulu 557
Jairo 7
Kilimba 36
Amon 7

15.KATA YA KISIRIRI
Mwigulu 1597
Jairo 56
Kilimba 39
Amon 4

16.KATA YA KASELYA
Mwigulu 1613
Jairo 31
Kilimba 50
Amon 4

17.KATA YA KIDARU
Mwigulu 1590
Jairo 22
Kilimba 40
Amon 12

18.KATA YA URUGHU
Mwigulu 841
Jairo 23
Kilimba 70
Amon 3

19.KATA YA MBELEKESE
Mwigulu 1105
Jairo 57
Kilimba 119
Amon 13

20.KATA YA SHELUI
Matokeo yake hadi sasa Mwigulu anaongoza kwa wastani wa Juu.(Takwimu zake zitawajia hivi punde)

KWA KURA ZA MAONI NDANI YA CCM kwenye ngazi ya UBUNGE inasemekana Mwigulu Nchemba kaongoza kwa kupata asilimia 96%
 
Ndugai pamoja na kutoa kipigo kwa mwenza wake waliokuwa wanachuana ubunge na mpaka akazimia na kuna ushahidi aw video,Lakin amefanikiwa kupita je hii ni haki swali kwa wana ccm?
 
Wtf??!!!

Clip ipo na hata ITV walionyesha,halafu anapita??!! Naamini huyu ataishia kwenye mchujo,Proff Tezi Dume na rizimoko wana hasira nae kwa kuruhusu mjadala wa ESCROW siku alipokalia kiti!!!
 
Waziri mkuu alishasema utapigwa tu,ndugai katekeleza maelekezo
 
Mgombea udiwani ccm halmashauri ya mji wa Kahama kata ya Kagongwa asiyejua kusoma na kuandika ndg. Kashantole amewabwaga wagombea watano wakiwemo wasomi wa elimu ya juu wawili...kwa mujibu wa matokeo mgombea huyu anaongoza kwa zaidi ya kura 500 na anaefuatia kwa kura 100 ...
 
Back
Top Bottom