Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Duuuh! UKAWA inabidi wajipange kwelikweli maana kama mambo yenyewe ndio haya uchaguzi mkuu itakuwaje?
Hao waliokamata hayo maboks ni akina nani?
Na ccm kwa kuiba ni mabingwa kama watu hawajapiga kura lakini masanduku ya watu yaliyotikiwa aisee. Nadhani kwenye u raisi matokeo yahesabiwe vtuo hafu yatumwe wakisema yakahesabiwe na tume kwenye kusafirisha wataingizwa masanduku yaliyopigiwa kura.
Ulinzi wa kura muhimu hasa kwa Ukawa